Monday, December 23, 2013


Kocha aliyesitishiwa mkataba Ernie Brandts
Uongozi wa klabu ya Young Africans SC umempatia taarifa (Notice) ya siku ya thelathini (30) kocha mkuu mholanzi Ernie Brandts juu ya kusitisha mkataba wake kuanzia jana Disemba 22 mwaka huu.
Maamuzi hayo yanafuatia muenendo wa matokeo mabaya katika michezo iliyopita ya Ligi Kuu, kirafiki na bonanza la Nani Mtani Jembe dhidi ya Simba SC mwishoni mwa wiki.

Hatua ya Young Africans SC kusitisha huduma na Brandts isichukuliwe kama chuki bali ni moja ya sehemu ya kuhakikisha tunaboresha benchi la ufundi ili tuweze kupata matokeo mazuri katika Mashindano yanayotukabili.

Ukitazama uwezo wa mchezaji mmoja mmoja wa Yanga SC na wapinzani wetu, na soka tulilocheza kwenye mchezo wa mwishoni mwa wiki kwa kweli ni dhahiri mwalimu amefikia mwisho kimbinu na hana njia mbadala.

Young Africans SC imekua ikicheza chini ya kiwango katika michezo ya Ligi Kuu hali iliyoplekea kupata ushindi kwa tabu na wakati mwingine timu kupoteza pointi.

Kufuatia kupewa taarifa ya siku 30, Brandts ataamua mwenyewe kama ataendelea kusimamia mazoezi ya timu au kuondoka moja kwa moja kabla ya muda huo ukiwa haujakamilika.

Ikiwa Brandts ataondoka mapema timu itaendelea na mazoezi kama kawaida katika kila siku asubuhi katika uwanja wa bora kijitonyama kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu na mashindano ya kimataifa chini ya kocha msaidizi Fred Felix “Minziro”.

Ili kuhakikisha timu inafanya vizuri katika mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom na mashindano ya kimataifa uongozi unakamilisha maandalizi ya safari ya kambi nje ya nchi na taratibu zote zitakapokamilika tutawajulisha.

Aidha uongozi upo katika mchakato wa kumapata mrithi wa Brandts ambaye ataungana na timu kwa ajili ya maandalizi ya mzunguko wa pili na Mashindano ya klabu Bingwa Afrika.

Mwisho tunawaomba wanachama, wapenzi na washabiki wa Yanga wasivunjike moyo kufuatia matokeo ya bonanza mwishoni mwa wiki, uongozi unajipanga kuhakikisha timu inaimarika kwenye benchi la ufundi na kurudisha furaha katika mzunguko wa pili wa VPL.

Abdallah Bin Kleb
Mwenyekiti - Kamati ya Mashindano
Young Africans Sports Club.


 
 Arsene Wenger na Jose Mourinho wakisalimiana hapa kwa kupeana mikono .
 
 Stop there: Eden Hazard is chased by Arsenal midfielder Aaron Ramsey
Eden Hazard akitaka kumtoka Aaron Ramsey

High jump: Fernando Torres jumps for the ball in the Chelsea penalty area

Getting the cross in: Gary Cahill vies with Arsenal striker Olivier Giroud


Up close and personal: Lampard gets in tight on Mesut Ozil

 
 
 
 
 
Santas wa Chelsea wakililia pointi tatu muhimu kwenye uwanja wa Emirates usiku huu.  
 
 
 
Helping hand: Mourinho helps pick Sagna up after the Lampard tackle
Mourinho akimpa msaada wa kumyanyua juu Sagna baada ya kupewa kigingi na Lampard 
 
Tough tackle: Frank Lampard goes in for a tackle with Arsenal's Bacary Sagna
 
Joes Mourinho akiangalia mchezo unavyokwenda
 
 
.
 
Lampard na John Terr wakiwasalimia mashabiki

VIKOSI:
Arsenal: Szczesny 6, Sagna 7, Mertesacker 7, Vermaelen 7, Gibbs 7, Ramsey 6, Arteta 7, Walcott 6, Ozil 6, Rosicky 6, Giroud 6.
Subs: Podolski, Monreal, Cazorla, Flamini, Fabianski, Bendtner, Jenkinson.
Chelsea: Cech 6, Ivanovic 7, Cahill 7, Terry 7, Azpilicueta 7, Mikel 6, Lampard 7, Ramires 6, Willian 6, Hazard 7, Torres 6.
Subs: Cole, Luiz, Mata, Oscar, Schurrle, Schwarzer, Eto'o.
Referee: Mike Dean
 
 
MSIMAMO ULIVYOBAKIA BAADA YA KUMALIZA RAUNDI YA 17
Pos.Logo &TeamPWDLGDPts
1LiverpoolLiverpool1711332336
2ArsenalArsenal1711331636
3Manchester CityManchester City1711243135
4ChelseaChelsea1710431434
5EvertonEverton179711334
6Newcastle UnitedNewcastle United17935230
7Tottenham HotspurTottenham Hotspur17935-530
8Manchester UnitedManchester United17845828
9SouthamptonSouthampton17665424
10Stoke CityStoke City17566-421
11Swansea CitySwansea City17557020
12Hull CityHull City17557-620
13Aston VillaAston Villa17548-619
14Norwich CityNorwich City17548-1419
15Cardiff CityCardiff City17458-1217
16West Bromwich AlbionWest Bromwich Albion17377-516
17West Ham UnitedWest Ham United17359-814
18Crystal PalaceCrystal Palace174112-1613
19FulhamFulham174112-1713
20SunderlandSunderland172411-1810
 
Kocha wa Yanga, Ernst Brandts 
Uongozi wa timu ya Yanga umesitisha mkataba wa kocha wake mkuu Ernie Brandts ikiwa ni siku 2 tu tangu timu hiyo ifungwe na Simba





 







 




 zitto Kabwe amesimikwa hii  Kuwa MWAMI na wazee wa kasulu










Mh.Zitto Kabwe akiwashukulu sana Wanakasulu kwa namna walivyojitokeza kwenye mapokezi hapa kasulu

 


 



 



nn




l


 



 


 











waliotembelea blog