Saturday, July 6, 2013

KLABU ya Tottenham  imekamilisha usajili wa kiungo Paulinho kutoka Corinthians kwa ada ya Pauni Milioni 17.1.
Spurs imetangaza leo asubuhi kwamba, kiungo hiyo Mbrazil mwenye umri wa miaka 24 amekamilisha upimaji wa afya katika klabu hiyo.
Paulinho amesema: "Nina furaha sana ninayevutiwa na kuhamia Spurs. Ni kitu kizuri katika maisha yangu ya soka kuwa katika klabu kunwa kama Tottenham,".
 
 
 
Sura nzuri: Tottenham imethibitisha usajili wa Paulinho kutoka Corinthians
 
Paulinho akionyesha uwezo wake katika picha hii iliyopatikana kwenye tovuti ya Tottenham

Poulinho alikuwemo kwenye kikosi cha Brazil kilichotwaa Kombe la Mabara Jumapili iliyopita kwa kuifunga 3-0 Hispania katika Fainali Uwanja wa Maracana. 

Maandalizi ya maonyesho ya sabasaba yanavyoendelea jijini Dar es Salaam




 Afisa Mauzo ya Nje wa NMB Martin Nshunju akipata maelezo ya SmartBoard Kutoka Kwa Mfanyakazi wa Kitengo Cha Kompyuta Cha Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam (UCC) Smartboard hizo zinauzwa na Kitengo cha Komyuta Cha Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UCC).



 Mfanyakazi wa NMB Bi Maana Katuli akipata Maelezo katika banda la Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam lililopo ndani ya Viwanja vya Sabasaba.




 Wafanyakazi wa Kampuni inayouza bidhaa za SHARP wakizunga ndani ya viwanja vya sabasaba.


Mfanyakazi wa Kampuni ya EAG Group akitoa Maelezo juu ya Simu aina ya Motek.


waliotembelea blog