Maandalizi ya maonyesho ya sabasaba yanavyoendelea jijini Dar es Salaam
Afisa Mauzo ya Nje wa NMB Martin Nshunju akipata
maelezo ya SmartBoard Kutoka Kwa Mfanyakazi wa Kitengo Cha Kompyuta Cha Chuo
Kikuu Cha Dar Es Salaam (UCC) Smartboard hizo zinauzwa na Kitengo cha Komyuta
Cha Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UCC).
Mfanyakazi
wa NMB Bi Maana Katuli akipata Maelezo katika banda la Chuo Kikuu Cha Dar Es
Salaam lililopo ndani ya Viwanja vya Sabasaba.
Wafanyakazi wa Kampuni inayouza bidhaa za SHARP
wakizunga ndani ya viwanja vya sabasaba.
Mfanyakazi wa Kampuni ya EAG Group akitoa
Maelezo juu ya Simu aina ya Motek.
0 maoni:
Post a Comment