4:10 AM
Unknown
Baada kutokuwa na mtu anayeeleweka kwa jamii kuwa ndio mpenzi wake
rasmi, Mwanamuziki nguri na judge katika shindano maarufu hapa Africa la
Tusker project fame, Juliana Kanyomozi hatimaye amemmweka wazi mpenzi
wake mpya ambaye ni mganda aishie Africa kusini, King Lawrence, Lawrence
ni tajiri mkubwa na mfanya biashara maarufu nchini Uganda......Thatz it
Best wishes Juliana na King Lawrence
Juliana akiwa na King Lawrence katika picha iliyozua maswali mengi zaidi
Muendelezo wa picha ambazo zinaashiria kitu baina ya hawa watu, Juliana King Lawrence
4:04 AM
Unknown
Redds Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa ( kushoto) akipinga hodi
ikiwa ni ishara ya kukaribishwa katika Kituo cha kuleta watoto yatima
Mgolole cha Masista wa Moyo Safi wa Maria wa Morogoro , ambapo
alifuatana na warembo wengine wawili, Miss Tanzania mshindi wa tano,
Elizabeth Perrty, na Sabra Islam Miss Morogoro 2013, wazazi wake na
Viongozi wa juu wa Kamati ya Miss Tanzania na kupokelewa na Mama Mkuu wa
Kituo hicho, Sista Flora Maria Chuma ( mwenye kutabasabu ) Desemba 25,
mwaka huu walipotembelea kwa ajili ya kutoa zawadi ya vyakula vya aina
mbalimbali ikiwa ni mpango wake wa kusaidia makundi ya aina hiyo.
Redds Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa ( kulia) akimkabidhi kopo
la maziwa Mama Mkuu wa Kituo cha kuleta watoto yatima Mgolole cha
Masista wa Moyo Safi wa Maria wa Morogoro ,Sista Flora Maria Chuma (
kushoto) Desemba 25, mwaka huu walipotembelea kutoa zawadi ya vyakula
vya aina mbalimbali kwa Kituo hicho ikiwa ni mpango wa kusaidia makundi
ya aina hiyo akiambatana na warembo wengine wawili, Miss Tanzania
mshindi wa tano, Elizabeth Perty, na Sabra Islam Miss Morogoro 2013,
wazazi wake na Viongozi wa juu wa Kamati ya Miss Tanzania.
Redds Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa ( kushoto) akiwa
amempataka mikononi mtoto yatima Happiness, akiwa na warembo wengine
wawili, Miss Tanzania mshindi wa tano, Elizabeth Perrty, ( kulia) na
mwezake Sabra Islam Miss Morogoro 2013, na Viongozi wa juu wa Kamati ya
Miss Tanzania, akiwemo Mkurugenzi Hashim Lundega, wakisikiliza maelezo
ya Mama Mkuu wa wa Kituo cha kuleta watoto yatima Mgolole cha Masista wa
Moyo Safi wa Maria wa Morogoro ,Sista Flora Maria Chuma ( hayupo
pichani ) ,Desemba 25, mwaka huu walipotembelea na kutoa zawadi ya
vyakula vya aina mbalimbali kwa Kituo hicho siku ya sikukuu ya
Christimas ikiwa ni mpango wake wa kusaidia makundi ya aina hiyo.
Redds Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa ( kushoto) akiwa
amempataka mikononi mtoto yatima Happiness, alipoteembelea Kituo cha
kuleta watoto yatima Mgolole cha Masista wa Moyo Safi wa Maria wa
Morogoro , Desemba 25, mwaka huu walipotembelea na kutoa zawadi ya
vyakula vya aina mbalimbali kwa Kituo hicho siku ya sikukuu ya
Christimas ikiwa ni mpango wake wa kusaidia makundi ya aina hiyo, pia
alifuatana na warembo wengine wawili, Miss Tanzania mshindi wa tano,
Elizabeth Perrty, na Sabra Islam Miss Morogoro 2013, wazazi wake na
Viongozi wa juu wa Kamati ya Miss Tanzania .
Redds Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa ( kushoto) akiwa na
warembo wengine wawili, Miss Tanzania mshindi wa tano, Elizabeth Perty,
na Sabra Islam Miss Morogoro 2013, wazazi wake na Viongozi wa juu wa
Kamati ya Miss Tanzania, wakisikiliza maelezo kutoka kwa Mama Mkuu wa wa
Kituo cha kuleta watoto yatima Mgolole cha Masista wa Moyo Safi wa
Maria wa Morogoro ,Sista Flora Maria Chuma ( kulia) Desemba 25, mwaka
huu , walipotembelea na kutoa zawadi ya vyakula vya aina mbalimbali kwa
Kituo hicho ikiwa ni mpango wake wa kusaidia makundi ya aina hiyo.
Redds Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa akisaini kitabu cha wageni.
Redds Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa akigawa zawadi za vyakula
vya aina mbalimbali kwa baadhi ya watoto yatima wanaolelewa na Kituo cha
Mgolole cha Masista wa Moyo Safi wa Maria wa Morogoro , Desemba 25,
mwaka huu ikiwa ni sehemu ya kusaidia watoto wa aina hiyo , akiwa
ameambatana na warembo wengine wawili, Miss Tanzania mshindi wa tano,
Elizabeth Perty, na Sabra Islam Miss Morogoro 2013, wazazi wake pamoja
na Kamati ya Miss Tanzania.Picha na John Nditi.