Thursday, February 12, 2015


Mpaka dakika 90 zinamalizika United 3 Burnley 1Smalling akishangilia..
Van Persie alifunga bao la tatu kwa mkwaju wa penati baada ya Di Maria kuangushwa ndani ya boksi.Chris Smalling of Manchester United celebrates scoring his second goal with Ander HerreraMchezaji wa Manchester United Chris Smalling aliingia kipindi cha kwanza kuchukua nafasi ya Phil Jones aliyepata majeraha na ndani ya dakika chache aliifungia bao la kwanza Man United katika dakika ya 6 na dakika ya 45 mwishoni kipindi cha kwanza aliwafungia bao tena Man United na kufanya 2-1 dhidi ya Burnley ambao wao walisawazisha mapema kupitia kwa kichwa baada ya kupigwa krosi kama kona  na Danny Ings kuipa bao Burnley na mtanange kumaliza kipindi cha kwanza Man United wakiwa mbele ya bao 2-1 dhidi ya Burnley kwenye Uwana wa Manchester United.
VIKOSI:
Man Utd: De Gea, McNair, Jones, Evans, Rojo, Blind, Rooney, Januzaj, Di Maria, van Persie, Falcao.
Akiba: Mata, Smalling, Ander Herrera, Valencia, Fellaini, Valdes, Wilson.
Burnley: Heaton, Trippier, Keane, Shackell, Mee, Kightly, Arfield, Jones, Boyd, Barnes, Ings.
Akiba: Lafferty, Duff, Wallace, Vokes, Reid, Jutkiewicz, Gilks.
Refa: Kevin Friend
Manchester United vs Burnley:
MSIMAMO ULIVYO KWA SASA:

1-0Willium (kushoto) akiomba baada ya kuipa bao la Ushindi Chelsea katika dakika ya 89 ya Mchezo kati yao na Everton.Referee Jonathan Moss speaks with Chelsea playersWillian aliipachikia Chelsea bao katika dakika za lala salama dakika ya 89 na kumaliza Mchezo dakika 90 Chelsea wakiibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Everton. Ushindi huu unaipaisha zaidi Chelsea Kileleni wakiwa na pointi 59.Patashika!!Cuadrado alianza kipindi cha kwanza leo Nemanja Matic of Chelsea marshals Romelu Lukaku of EvertonVIKOSI:
Chelsea: Cech, Ivanovic, Zouma, Terry, Azpilicueta, Ramires, Matic, Cuadrado, Willian, Hazard, Remy.
Akiba: Luis, Fabregas, Ake, Drogba, Courtois, Cahill, Loftus-Cheek.
Everton: Howard, Coleman, Stones, Jagielka, Oviedo, Besic, Barry, Lennon, Naismith, Barkley, Lukaku.
Akiba: Robles, Gibson, Kone, Mirallas, McCarthy, Garbutt, Alcaraz.
Mwamuzi: Jonathan Moss


Chelsea vs Everton:

waliotembelea blog