Wayne Rooney akiteleza kuchukua mpira kwa
Ashley Young kwenye mazoezi yao
kabla ya kuelekea kucheza na Shakhtar Donetsk Ukraine
Rooney ambaye anachezea timu ya
Taifa ya Uingereza anatarajiwa kucheza
kesho
Jumatano kwenye maudiano na timu ya Ukraine -Shakhtar Donetsk
UEFA CHAMPIONS LEAGUE, UCL, ambayo sasa yapo hatua za Makundi yakiwa na
Makundi 8 ya Timu 4 kila moja ambako Timu 2 za juu husonga na kuingia
Raundi ya Mtoano ya Timu 32, yataingia Mechi zake za pili baada ya
kuanza hapo Septemba 17.
Robin van Persie chini akicheza na mchezaji
mwenzake Young kwenye mazoezi yao kabla ya kuelekea Ukraine
Rooney akiteta na kucheka na kocha Phil Neville
Marouane Fellaini akionesha manjonjo yake wakati akipasha kwenye mazoezi
Kipa David de Gea nae alikuwa miongoni mwao akipasha
Van Persie akijigamba na kuja kuziona nyavu za
Donetsk kesho jumatano wakati wa marudiano
Kagawa na Chris Smalling wakipiga danadana kwenye mazoezi
Nani (katikati) ni mchezaji anayetarajiwa kupata namba kesho Ukraine
Kocha mkuu Moyes kuwaongoza
United Ukraine kesho jumatano
Ferdinand akichota mpira kutoka kwa Rooney
wakati wa mazoezi yao kabla ya kuelekea Ukraine leo hii
Midfielders Michael Carrick na Tom Cleverley wakipasha
Ni Ashley Young na Moyes hapa.
.
Kazi ya Ziada inatakiwa hapa:
Kocha Moyes kumtumia Danny Welbeck kwenye kukaba
Ryan Giggs ni mmoja wa viongozi wa
kuwaongoza United pamoja na kocha mkuu Moyes
Jumatano 2 Oktoba 2013
FC Shakhtar Donetsk v Manchester United FC
Bayer 04 Leverkusen v Real Sociedad de Fútbol
Juventus v Galatasaray A.Åž.
Real Madrid CF FC København
Paris Saint-Germain v SL Benfica
RSC Anderlecht v Olympiacos FC
Manchester City FC v FC Bayern München
PFC CSKA Moskva v FC Viktoria Plzeň