8:51 AM
Unknown
Wanafunzi
wa chuo Cha Uhasibu (TIA), jijini Dar es Salaam, wakipatiwa maelezo ya
huduma mbalimbali zitolewazo na Mfuko wa Pensheni wa PSPF walipotembelea
banda la Mfuko huo lililoko jingo la Wizara ya fedha kwenye maonyesho
ya 40 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, 2016 viwanja vya
Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Julai 2, 2016.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama, (kulia), akizungumza
jambo wakati alipotembelea banda la Mfuko wa Pensheni wa PSPF kwenye
jingo la wizara ya fedha viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es
Salaam Julai 2, 2016 ambako yanafanyika maonyesho ya 40 ya biashara ya
kimataifa ya Dar es Salaam. Hapa waziri akipatiwa maelezo na Afisa
Uendeshaji wa PSPF, Hadji Hamisi Jamadari
Afisa
Kumbukumbu wa Mfuko Pensheni wa PSPF, Lupakisyo J. Mwaipungu
(kushoto), akimsikiliza Mwananchi huyu aliyetembelea banda la Mfuko huo
na kuamua kujiunga na mpango wa uchangiaji wa hiari PSS Julai 2, 2016
8:50 AM
Unknown
Afisa Msaidizi wa Huduma kwa Wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mohamed Siaga akifurahia huku kionyesha tuzo walizokabidhiwa.
Baadhi ya wafanyakazi wa PPF wakiwa na furaha baada ya kukabidhiwa kikombe chao
Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio, akihojiwa na Waandhi wa habari
baada ya Mfuko wake kukabidhiwa Kikombe cha ushindi wa kwanza wa Kundi
la Mifuko ya Hifadhi ya jamii na Makampuni ya Bima katika Maonesho ya 40
ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba.
Picha ya pamoja.
Meneja Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni w PPF, Lulu Mengele, akimuongoza
Mkurugenzi Mkuu wa PPF William Erio (kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF,
Prof. Godious Kahyarara (katikati) walipokuwa wakitembelea Banda la
Mfuko huo kwenye maonesho ya Biashara ya Kimataifa viwanja vya Sabsaba.
Maafisa
wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Saluna Aziz Ally (kulia) na Glory Maboya,
wakiendelea kutoa huduma kwa wateja wao waliofika katika Banda la
maonesho Sabasaba la mfuko huo.
Sehemu ya Wananchi wakiwa ndani ya Banda la PPF wakipata huduma na
maelezo kuhusu namna ya kujiunga na mfuko huo na jinsi wanachama
wanavyoweza kufaidika kupitia michango yao..
Afisa Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Sostenes Lyimo, akitoa
maelezo kwa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Prof. Godious Kahyarara, na
wasaidizi wake wakati walipotembelea katika Banda la Maonesho la Mfuko
huo kwenye Viwanja vya Sabasaba jana