Sunday, March 15, 2015



Klabu ya Manchester United imeanzisha mazungumzo na ajenti wa Christiano Ronaldo kwa lengo la kumrudisha Old Trafford.
Siku za usoni za Ronaldo zimejaa uvumi huku kukiwa na madai kwamba mchezaji huyo hafurahii maisha ya Madrid.
Habari hizo zimeifungua macho United na sasa ripoti nchini Uhispania zinasema kuwa Manchester United imeanzisha mazungumzo na ajenti wa mchezaji huyo Jorge Mendes kwa lengo la kumrudisha mchezaji huyo Old Trafford.
Kulingana na gazeti la Metro nchini Uingereza United ina matumaini ya kumpata Ronaldo kwa kitita cha yuro millioni 100 ambazo ni sawa na pauni millioni 71.1.


MSIMAMO ULIVYO:
NA TIMU
P
W D L F A
GD PTS
1 Yanga
16
9 4 3 21 9
12 31
2 Azam FC
16
7 7 2 23 12
11 30
3 Simba
18
7 8 3 22 12
10 29
4 Kagera Sugar
18
6 7 5 15 15
0 25
5 Coastal Union
19
5 9 5 14 13
1 24
6 JKT Ruvu
18
6 5 7 16 17
-1 23
7 Ruvu Shooting
19
5 8 6 13 15
-2 23
8 Mtibwa Sugar
17
5 7 5 17 17
0 22
9 Ndanda FC
18
6 4 8 17 22
-5 22
10 Stand United
18
5 6 7 16 21
-5 21
11 Polisi Moro
19
4 8 7 13 17
-4 20
12 Mgambo JKT
16
6 2 8 11 17
-6 20
13 Mbeya City
16
4 6 6 11 15
-4 18
14 Tanzania Prisons
18
1 10 6 14 21
-7 16



Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga akipiga mpira kuashiria ufunguzi wa mashindano ya NSSF Media Cup 2015, yaliyoanza kulindima katika viwanja vya Sigara, Chang'ombe Dar es Salaam leo asubuhi.

Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga akihutubia baada ya kufungua mashindano hayo.
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga (katikati), akiwa meza kuu na viongozi mbalimbali waliohudhuria ufunguzi wa mashindano hayo. Kutoka kulia ni Mkuu wa Idara ya Masoko na Uhusiano wa NSSF, Eunice Chiume, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NSSF,Ludovick Mrosso, Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini NSSF, Abubakar Rajab, Mkurugenzi Rasilimali Watu, Chiku Matessa na Mkurugenzi wa Uthamini na Usimamizi wa Hadhara, Sadi Shemliwa.

Kikosi cha Timu ya Free Media kilichofungua mashindano hayo kwa kucheza na Shirika la Utangazaji Tanzania TBC.

Kikosi cha Shirika la Utangazaji Tanzania TBC kilichomenyana na Free Media na kuibuka washindi wa bao 1-0 na kuendelea na mashindano hayo.



Vijana wa Yamoto Band waikonga mioyo ya mashabiki wao wa Tabata kwa kupiga show kali sana ndani ya Dar West ikiwa ni wiki moja tu imepita tangu warejee kutoka UK Londoni ambako walikuwa na Ziara.

Kayumba ni Zao kutoka Mkubwa na Wanawe akifungua show kwa kuimba kabla ya Vijana wa Yamoto Band.

Mwanadada Marope kutoka Mkubwa na wanawe akitoa Burudani katika Ukumbi wa Dar west Tabata jana.


Anaitwa Adamu solooo...


Enock Bella Mzee wa sauti Nzitto akifanya yake katika Ukumbi wa Dar west tabata Jana.



Mkubwa Fella akizungumza jambo na Mashabiki wa Yamoto Band Tabata.


The Barca star scored his 16th and 17th La Liga goals of 2015 as his side strolled to victoryLionel Messi akishangilia moja ya bao lake usiku huu ambapo Ushindi huu wa leo umepatika kupitia kwake kwa bao 2-0 dhidi ya Eibar. Ushindi huu pia unaipaisha Kileleni kwa kupata pointi 65 mbele ya pointi 61 za Real Madrid, Valencia CF ndio wanashika nafasi ya tatu wakiwa na pointi 57. Atlético de Madrid leo wamebanwa mbavu kwa kutoka sare ya 0-0 hivyo wanashika nafasi ya nne wakiwa na alama zao 56.Neymar (left) and Ivan Rakitic (right) join Messi in celebration of his 31st minute spot-kick Neymar na Ivan Rakitic wakimpongeza Lionel Messi aliyewapa Ushindi wa bao 2-0
Messi was at his very best at times and made a sensational 70-yard run during the first halfLionel Messi chini ya Ulinzi mkali wa wachezaji wawili wa Eibar usiku huuLionel Messi aliipatia bao Barcelona kwa mkwaju wa Penati katika dakika ya 31 kipindi cha kwanza.
Lionel Messi Tena dakika ya 55 kipindi cha pili aliwapa bao la pili Barcelona na kufanya bao kuwa 2-0 na Mtanange kumalizika kwa 2-0 dhidi ya Eibar.

waliotembelea blog