Lionel
Messi akishangilia moja ya bao lake usiku huu ambapo Ushindi huu wa leo
umepatika kupitia kwake kwa bao 2-0 dhidi ya Eibar. Ushindi huu pia
unaipaisha Kileleni kwa kupata pointi 65 mbele ya pointi 61 za Real
Madrid, Valencia CF ndio wanashika nafasi ya tatu wakiwa na pointi 57.
Atlético de Madrid leo wamebanwa mbavu kwa kutoka sare ya 0-0 hivyo
wanashika nafasi ya nne wakiwa na alama zao 56.Neymar na Ivan Rakitic wakimpongeza Lionel Messi aliyewapa Ushindi wa bao 2-0
Lionel Messi chini ya Ulinzi mkali wa wachezaji wawili wa Eibar usiku huu
Lionel Messi aliipatia bao Barcelona kwa mkwaju wa Penati katika dakika ya 31 kipindi cha kwanza.
Lionel
Messi Tena dakika ya 55 kipindi cha pili aliwapa bao la pili Barcelona
na kufanya bao kuwa 2-0 na Mtanange kumalizika kwa 2-0 dhidi ya Eibar.
0 maoni:
Post a Comment