Monday, October 21, 2013
6:36 AM
Unknown
kanisa kuu la katoriki la bukoba ilipofanyika misa ya shukrani
picha ya familia ya mzee ngezemzee pius ngeze akiwa na mke wake na wanae,mzee pius ngeze ambae amekuwa kiongozi wa muda mrefu katika nchi ya tanzania katika nyadhifa mbalimbali,mzee ngeze amewahi kwa mbunge mstaafu wa willaya ya ngara,mwenyekiti msaafu wa ccm mkoa wa kagera zaidi ya miaka 20, mjumbe wa halmashauri kuu ya ccm mstaafu, mwenyekiti wa bodi mbalimbali za mashirika na taasisi,baada ya kustaafu ameendelea na shughuli zake binafsi.
watoto wa mzee ngeze
bwana pius ngeze na mke wake mama ngeze wakiwa wanatoa shukrani zao
wakati wa matoleo
mama ngeze akiwa na mzee mgeze katika picha ya pamoja baada ya misa ya shukrani
picha ya pamoja wanafamilia ya mzee pius ngeze na baba askofu kilaini
5:29 AM
Unknown
Naibu
waziri wa mawasiliano, sayansi na teknolojia, Mhe. Januari Makamba
Naibu
waziri wa mawasiliano, sayansi na teknolojia, Januari Makamba
Naibu
waziri wa mawasiliano, sayansi na teknolojia, Januari MakambaNaibu
waziri wa mawasiliano, sayansi na teknolojia, Januari Makamba (wa pili
kulia) akikabidhi kombe kwa nahodha wa timu ya Mwananyamala,
5:04 AM
Unknown
Shabiki
mwananke wa Yanga akitolewa kwenda kupata huduma ya kwanza baada ya
kuzimia alipokuwa akishagilia bao la pili dhidi ya watani wao wa jadi
Simba katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kwenye Uwanja
wa Taifa, Dar es Salaam leo. Timu hizo zimetoka sare ya mabao 3-3.
Wapenzi wa Yanga wakishangilioa
Kikosi cha Yanga kilichopepetana na Simba
Kikosi cha Simba kilichocheza na Yanga
Shabiki wa Simba akiwa amezimia
1:15 AM
Unknown
Nicki
Minaj ni msanii asiye na aibu ya kusema mambo gani anapenda kwenye
maisha yake na yupo tayari kufanya nini kuyapata. Hivi karibuni alikuwa
kwenye duka la K Mart akizindua nguo zake na aliwasili na gari yake mpya
iliyo tengenezwa na kuboreshwa kwa matakwa yake, Yes ndio hio Pink
lamborghini Custom made for Minaj.
Picha Zaidi Ziko Hapa.....
Picha Zaidi Ziko Hapa.....
12:57 AM
Unknown
Na Lucy Mgina
Simba na Yanga zinakutana keshokutwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar na Ngassa ameahidi asipofunga au kutoa pasi itakayozaa bao, basi atazichoma moto nyumba zake tano.
Akizungumza na Championi Ijumaa, Ofisa Habari wa Simba, Ezekiel Kamwaga alisema hawana hofu na Ngassa na kwamba hana hata historia ya kuifunga Simba, hivyo cha msingi aandae zima moto haraka ili kuepuka hasara mapema.
“Siwezi kusema hatatufunga kwa kuwa ni majaaliwa ya kila mtu jinsi Mungu alivyompangia lakini sisi hatuna hofu naye, atambue kuwa hajawahi au hana historia ya kuifunga Simba, ila tunamshauri aandae zima moto mapema, tusijemtia hasara bure,” alisema Kamwaga.
Udaku Specially Blog
12:46 AM
Unknown
Wakati ile movie ya Temptation iliozua Gumzo Jijini iliyowakutanisha tena Msanii wa muziki Diamond na Mcheza Filamu Wa Tanzania Wema Sepetu ambao
waliwahi kuwa wapenzi ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa Diamond Na
Wema Week End Hii diamond Amekua na Show Ya kukata na shoka huko Guangzhou huku baadhi ya washabiki wakijiuliza mbona hawamuoni Maddam
Mkumbuke
kuwa Maddam Na Diamond walikutana Hongkong na kwamba tayari Maddam
amesharejea nchini, Labda show hiyo ni muendelezo wa Temptation ambayo location yake kuwa inaonekana kuwa Nje ya Nchi.Cheki picha za show hiyo:-
Subscribe to:
Posts (Atom)