Usiku wa kuamkia leo, kampuni ya SK Entertainment ikishirikiana na
Unity Entertainment, iliangusha party iliyopewa jina ‘East Meets West’
ambapo host alikuwa msanii wa Nigeria, J-Martins. Party hiyo ilitawaliwa
na sherehe ya birthday kumpongeza Ommy Dimpoz aliyekuwa akisherehekea
siku hiyo jana, Elements Lounge, Dar es Salaam. Tazama picha ya jinsi
mambo yalivyokuwa.
- Arthur, J-Martins na Salama
- AY na Mwana FA wakiteta jambo
- Baadhi ya warembo waliohudhuria party
- Baadhi ya watu waliohudhuria
- wakichukua picha
- Hamisa Mobeto
- J-Martins na Ommy Dimpoz
- J-Martins na Salma Msangi
- J-Martins, Ommy Dimpoz na Man Walter
- Kuanzia kulia ni Gillsant Mlaseko,
- Carol Ndosi, Fid, Salama na AY.
- Aliyekupa mgongo ni Michel Mbwambo
- Kumbukumbu
- Mboni Masimba: Hi Dimpoz!!
- Mboni: jamani hawamuonei huruma Ommy?
- Jamaa wa pembeni, ‘mi simo’
- Meneja wa Heineken Tanzania
- , Uche Unigwe, Ommy Dimpoz, Salama na rafiki
- Gillsant Mlaseko, Fid Q na Arthur
- Mrembo akicheza mbele ya J-Martins
- Mrembo akipose kwenye camera ya Bongo5
- Mrembo huyu aligeuka kivutio
- kwa uchezaji wake wa kichokozi
- Mshindi wa BBA 3 Kevin Pam
- wa katkati akiwa na Lucci, kulia na rafiki
- Mwana FA, Wakazi na Ommy Dimpoz
- Na Bado!!
- Nimekasirika
- Ommy Dimpoz akikata keki
- Ommy Dimpoz akiogeshwa na pombe na maji
- Ommy Dimpoz akionesha hana hamu
- kwa mvua ya pombe alizomwagiwa
- Ommy Dimpoz akiwa na furaha tele
- Ommy Dimpoz, AY na Mwana FA
- Salma Msangi wa Channel Ten akichukua
- picha kwa ustadi
- Sam Misago akichukua picha kwaajili ya blog yake
- Jamaa pembeni anaonekana akisema, ‘sister
- picha nzuri unachukua wewe tu’
- Wakazi, Fid Q na Ommy
- Wakazi
- Warembo wakipose kwenye camera
- Watangazaji wa Times FM, Raheem
- Da Prince na Cynder King wakiwa na warembo
- Yalaaaaaaaaaaa
- Vijana wakicheza wimbo maarufu wa Mafikizolo, Khona