July 17 2016 headline kutoka Ikulu Dar es salaam ni pamoja na hii Rais John Pombe Magufuli kumteua Profesa Longinus Rutasitara kuwa makamu mwenyekiti wa bodi ya mamlaka ya usafiri wa anga (TCAA), Rutasitara anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Dk. Nyamajeje Weggoro ambaye muda wake umemalizika.
Pia Rais
Magufuli amempandisha cheo kamishna msaidizi wa Polisi (ACP) Kedmon
Mnubi kuwa kamishna msaidizi mwandamizi wa polisi (SACP)