Jamaa wakilangua kadi za selcom kwa ajili ya mchezo wa Simba na Yanga nje ya Uwanja wa Taifa leo Hapa
anarudisha pesa kwa watu baada ya wandishi wa habari kukisanua na
kusaidiwa na askari mmoja wa JWTZ ambaye akutaka kupigwa picha wala
kutaja jina lake.