Saturday, October 18, 2014
7:39 AM
Unknown
NEWCASTLE
imeamua kuchukua hatua kujikinga na Ugonjwa wa Ebola kwa kuwapima
Wachezaji wao wanaorejea Klabuni baada ya Mechi za Kimataifa toka Barani
Afrika.
Gonjwa la Ebola limeikumba Afrika Magharibi na kuua Watu zaidi ya 4,000 na hivi sawa huko Uingereza Vituo vya Forodha vya Majini na kwenye Ndege Watu hupimwa Ugonjwa huo.
Sasa Klabu ya Newcastle nayo imeamua kuwapima Wachezaji wao Waafrika wanaorejea Klabuni baada ya kucheza Mechi za Kimataifa na Nchi zao.
Wachezaji wa Newcastle, Papiss Cisse, anaetoka Senegal, na Cheik Tiote, wa Ivory Coast, walikwenda Nchini mwao na pia kusafiri na Timu zao kucheza Mechi za Makundi za AFCON 2015 huko Tunisia na Congo DR.
Meneja wa Newcastle, Alan Pardew, amekiri Klabu yao watakuwa wapuuzi ikiwa hawaukubali Ugonjwa huo.

Subscribe to:
Posts (Atom)