Monday, December 30, 2013








Leo Samwel Eto'o ameibuka Shujaa wa Stamford Bridge alipofunga Bao la ushindi wakati Chelsea ilipotoka nyuma kwa Bao 1-0 na kuitwanga Liverpool Bao 2-1 wakati huko White Hart Lane Tottenham waliicharaza Stoke City Bao 3-0.


Kipindi cha Pili, Mamadou Sakho alipiga posti kwa kichwa na Liverpool watarudi kwao wakijuta ‘kunyimwa’ Penati mbili kufuatia kuvaana na John Terry na Eto'o.SPetr Cech akiangalia nyavu zake zikitingishwa na Liverpool











 
Eden akishangilia bao lake mbele ya mashabiki wa Blues!Wakipongezana Blues baada ya kusawazisha bao hilo la Eden Hazard



















wote wakiuchungulia!
MATOKEO:
Jumapili Desemba 29

Everton 2 v Southampton 1
Newcastle 0 v Arsenal 1
Chelsea 2 v Liverpool 1

 Tottenham 3 v Stoke 0

MSIMAMO ULIVYO KWA SASA TIMU SITA ZA JUU 

2013-2014 Barclays Premier League Table

Overall
Home
Away

POS
TEAMPWDLFA
WDLFA
WDLFA
GDPts
1 Arsenal 19 13 3 3 37 18
6 2 1 16 6
7 1 2 21 12
19 42
2 Manchester City 19 13 2 4 54 21
10 0 0 38 6
3 2 4 16 15
33 41
3 Chelsea 19 12 4 3 35 19
9 1 0 22 8
3 3 3 13 11
16 40
4 Everton 19 10 7 2 31 18
6 3 1 19 9
4 4 1 12 9
13 37
5 Liverpool 19 11 3 5 44 23
8 0 1 25 6
3 3 4 19 17
21 36
6 Manchester United 19 10 4 5 32 22
4 2 3 11 8
6 2 2 21 14
10 34

J

Olivier Giroud ameifungia bao la kichwa  timu yake Arsenal katika Dakika ya 65 leo limeifanya Arsenal iifunge Newcastle huko St James Park Bao 1-0 na kutwaa tena uongozi wa Ligi Kuu England wakiwa Pointi 1 mbele ya Manchester City.
Ingawa Arsenal walifungua nafasi kadhaa za kufunga lakini ni Newcastle waliokosa Bao za wazi wakati Shuti la Moussa Sissoko lilipookolewa na Kichwa cha Mathieu Debuchy kupiga posti.
Goli hilo la Arsenal lilipatikana baada ya Frikiki ya Theo Walcott kuunganishwa na Giroud.
Ushindi huu umewafanya Arsenal wawe kileleni mwa Ligi Kuu England Siku ya Mwaka mpya kwa mara ya kwanza tangu Msimu wa 2007/08.

 

 
 
 
\ 






Kwaya ya J.B.C Rwamishenye


 



 

waimbaji wa kwaya ya EAGT Bukoba Kwaya ya EAGT Bukoba wakiendelea kuimba ambao makao yao makuu ni Nyamukazi

EAGT kwaya wakitoa burudani.

 
 
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh. Massawe akicheza na Mh. Mgeni rasmi Mh January Yusuf Makamba







 


 
 

waliotembelea blog