Wednesday, January 22, 2014



LEO Jumatano Usiku, Kundi D ndio litakamilisha Mechi za Makundi kwa Mechi za Burundi v Congo DR na Mauritania v Gabon huku Mauritania ikiwa tayari imetupwa nje na kuziacha Burundi, Congo Dr na Gabon kugombea Nafasi mbili za kwenda Robo Fainali.


RATIBA
Jumatano Januari 22
20:00 Burundi v Congo DR [Peter Mokaba Stadium]
20:00 Mauritania v Gabon [Free State Stadium]
ROBO FAINALI
Jumamosi Januari 25
18:00 [Mechi Na 26] Morocco v Nigeria [Cape Town Stadium]
21:30 [Mechi Na 25] Mali v Zimbabwe [Cape Town Stadium]
Jumapili Januari 26
1800 [Mechi Na 28] Mshindi Kundi D v Libya [Peter Mokaba Stadium]
21:30 [Mechi Na 27] Ghana v Wa Pili Kundi D [Free State Stadium]
NUSU FAINALI
Jumatano Januari 29
18:00 [Mechi Na 29] Mshindi Mechi Na 25 v Mshindi Mechi Na 28 [Free State Stadium]
21:30 [Mechi Na 30] Mshindi Mechi Na 27 v Mshindi Mechi Na 26 [Free State Stadium]
Jumamosi Februari 1
18:00 Mshindi wa Tatu [Cape Town Stadium]
21:00 Fainali [Cape Town Stadium]

2014 ORANGE CHAN FIXTURES SOUTH AFRICA
GROUP MATCHES
NO. MATCH GROUP DATE TIME VENUE
1 SOUTH AFRICA vs MOZAMBIQUE A 11 January 2014 6pm Cape Town Stadium, Cape Town
2 MALI vs NIGERIA A 9pm Cape Town Stadium, Cape Town
3 ZIMBABWE vs MOROCCO B 12 January 2014 5pm Athlone Stadium, Cape Town
4 UGANDA vs BURKINA FASO B 8pm Athlone Stadium, Cape Town
5 GHANA vs CONGO C 13 January 2014 5pm Free State Stadium, Mangaung
6 LIBYA vs ETHIOPIA C 8pm Free State Stadium, Mangaung
7 RD CONGO vs MAURITANIA D 14 January 2014 5pm Peter Mokaba Stadium, Polokwane
8 GABON vs BURUNDI D 8pm Peter Mokaba Stadium, Polokwane
9 SOUTH AFRICA vs MALI A 15 January 2014 5pm Cape Town Stadium, Cape Town
10 NIGERIA vs MOZAMBIQUE A 8pm Cape Town Stadium, Cape Town
11 ZIMBABWE vs UGANDA B 16 January 2014 5pm Athlone Stadium, Cape Town
12 BURKINA FASO vs MOROCCO B 8pm Athlone Stadium, Cape Town
13 GHANA vs LIBYA C 17 January 2014 5pm Free State Stadium, Mangaung
14 ETHIOPIA vs CONGO C 8pm Free State Stadium, Mangaung
15 RD CONGO vs GABON D 18 January 2014 5pm Peter Mokaba Stadium, Polokwane
16 BURUNDI vs MAURITANIA D 8pm Peter Mokaba Stadium, Polokwane
17 NIGERIA vs SOUTH AFRICA A 19 January 2014 7pm Cape Town Stadium, Cape Town
18 MOZAMBIQUE vs MALI A 7pm Athlone Stadium, Cape Town
19 BURKINA FASO vs ZIMBABWE B 20 January 2014 7pm Athlone Stadium, Cape Town
20 MOROCCO vs UGANDA B 7pm Cape Town Stadium, Cape Town
21 ETHIOPIA vs GHANA C 21 January 2014 7pm Free State Stadium, Mangaung
22 CONGO vs LIBYA C 7pm Peter Mokaba Stadium, Polokwane
23 BURUNDI vs RD CONGO D 22 January 2014 7pm Peter Mokaba Stadium, Polokwane
24 MAURITANIA vs GABON D 7pm Free State Stadium, Mangaung
QUARTER FINALS 2014 ORANGE CHAN FIXTURES SOUTH AFRICA
25 MALI vs ZIMBABWE 25 January 2014 8:30pm Cape Town Stadium, Cape Town
26 MOROCCO vs NIGERIA 5pm Cape Town Stadium, Cape Town
27 GHANA vs 2nd D 26 January 2014 8:30pm Free State Stadium, Mangaung
28 1st D vs LIBYA 5pm Peter Mokaba Stadium, Polokwane
SEMI FINALS 2014 ORANGE CHAN FIXTURES SOUTH AFRICA
29 WINNER 25 vs WINNER 28 29 January 2014 5pm Free State Stadium, Mangaung
30 WINNER 27 vs WINNER 26 8:30pm Free State Stadium, Mangaung
3RD PLACE MATCH 2014 ORANGE CHAN FIXTURES SOUTH AFRICA
31 LOSER 29 vs LOSER 30 1 February 2014 5pm Cape Town Stadium, Cape Town
FINALS 2014 ORANGE CHAN FIXTURES SOUTH AFRICA
32 WINNER 29 vs WINNER 30 1 February 2014 8pm Cape Town Stadium, Cape Town


hh
Wanamuziki wa kizazi kipya wanaendelea kufanya mambo mazuri  kutokana na kipato wanachopata kwenye muziki.
Msanii David Geez maarufu kama Young D ame-share picha za nyumba aliyonunua huko Kimara Suka.
David amenunua nyumba hiyo ambayo ataifanyia ukarabati ilikufikia kiwango anachokitaka yeye na kuhamia baadae.
Hizi ni ndiyo picha alizo-share Young D leo asubuhi.
y3
y1
y2


m2 
Mwandishi Albert G Sengo wa http://gsengo.blogspot.com ameandika >>> Mahabusu mmoja aliyekuwa mahabusu ya mahakama ya wilaya ya Nyamagana na Mahakama ya Mwanzo iliyopo eneo la jirani na Mamlaka ya maji safi na Hifadhi ya Mazingira (MWAUWASA) jijini Mwanza alitoa vioja vya mwaka kwa kujaribu kutoroka kwa kujipaka kinyesi ili asiguswe wala kukamatwa.

Mtuhumiwa huyo ambaye jina lake halikufahamika alijimwagia kinyesi kilichokuwa kwenye ndoo iliyokuwa ndani ya sero ya Mahakamani hapo na askari alipokwenda kufungua ili kuwapeleka watuhumiwa kwenye chumba cha Mahakama kusomewa kesi yake baada ya kutajwa na karani wa Mahakama ya mwanzo, baada ya kutajwa ndipo mahabusu huyo alipopata mwanya wa kukimbia na kutoa tahadhari kwa atakaye mgusa au kumshika atakumbana na kadhia ya kuchafuliwa kwa kupakwa kinyesi.

Askari mwingine mwenye cheo cha sajenti, ambaye alikuwa akihushughulika na huduma nyingine mahakamani hapo, kwa kuwa alikuwa na uzoefu wa kupambana na mikasa na vioja kama hivyo vya mahabusu wanao kula njama za kutaka kutoroka aliamua kula naye sahani moja kwa kumkimbiza na kufanikiwa kumkamata.

m3 
Baada ya kumkamata na kumrejesha katika chumba cha mahabusu mahakamani hapo, kwanza mtuhumiwa huyo aliamriwa kuzoa mtondoro wa kinyesi cha binadamu alichokuwa amejimwagia na kutapakaa chini na mara baada ya kumaliza kuzoa uchafu huo, alipelekwa kwa hakimu ambapo alisomewa kosa la kula njama za kutoroka na kukumbana na adhabu nyingine ya kuhukumiwa kifungo cha miezi sita (6) jela, huku kesi yake iliyokuwa ikimkabili awali ikiahirishwa.
m4 
“Kama alivyojipaka ndivyo alivyo yazoa…”
m7 
Huku akiweka kinyesi hicho kwenye ndoo mahabusu huyo
 alilazimika kukizoa kwa mikono kama muuza mkaa
 apimavyo mkaa kwenye kopo kuwauzia wateja wake.
m6 
Mchafuzi wa mazingira akiadabishwa kabla ya kwenda kusomewa 
kesi nyingine ya kula njama za kutaka kutoroka.
m5


NO
TEAMS
P
W
D
L
GF
GA
GD
PTS
1
Young Africans
13
8
4
1
31
11
20
28
2
Azam FC
13
7
6
0
23
10
13
27
3
Mbeya City
13
7
6
0
20
11
9
27
4
Simba SC
13
6
6
1
26
13
13
24
5
Kagera Sugar
13
5
5
3
15
10
3
20
6
Mtibwa Sugar
13
5
5
3
19
17
2
20
7
Ruvu Shootings
13
4
5
4
15
15
0
17
8
Coastal Union
13
3
7
3
10
7
3
16
9
JKT Ruvu
13
5
0
8
10
16
-6
15
10
Rhino Rangers
12
2
4
6
9
16
-7
10
11
JKT Oljoro
13
2
4
7
9
19
-10
10
12
Ashanti United
13
2
4
7
12
24
-12
10
13
Tanzania Prisons
12
1
5
6
6
16
-10
8
14
Mgambo JKT
13
1
3
9
3
23
-20
6
RATIBA
RAUNDI YA PILI
25 Januari 2014
Ashanti United v Yanga
Azam FC v Mtibwa Sugar
Coastal Union v JKT Oljoro
Kagera Sugar v Mbeya City
Tanzania Prisons v Ruvu Shootings
JKT Ruvu v Mgambo JKT
Simba v Rhino Rangers

Jumapili, 26 Januari 2014
JKT Ruvu v Mgambo JKT
Simba v Rhino Rangers
Tanzania Prisons v Ruvu Shootings [Imeahirishwa, Sababu ya Uwanja]
Kasisi Monsignor Nunzio Scarano
Kasisi mmoja mkuu nchini Italia, amefikishwa mahakamani kwa kosa la kuhaulisha mamilioni ya dola au kujipatia pesa kwa njia haramu, kupitia kwa benki ya Vatican.
Polisi wanasema kuwa Monsignor Nunzio Scarano, anakabiliwa na kosa lengine la kupanga njama ya kuingiza kiharamu dola milioni 26 nchini Italia na kwamba yuko chini ya kifungo cha nyumbani.
Mhasibu huyo wa zamani wa Vatican na watu wengine wawili, walipokea kibali cha kukamatwa siku ya Jumanne.
Mwaka jana Papa Papa Francis aliunda tume, ya kutathmini shughuli za kanisa hilo baada ya kashfa kadhaa kujitokeza kuhusu kanisa hilo.
Vatican imekataa ombi la idara ya mahakama ya Italia kuchunguza madai hayo, yaliyotendwa na maafisa hao kwa misingi ya kidiplomasia.
Lakini chini ya uongozi wa Papa Francis, ushirikiano umeimarika kati ya Maafisa wa Italia na Vatizan ambao ulipelekea kukamatwa kwa Kasisi Monsignor Scarano, majira ya joto.
Mnamo Jumanne polisi walipata Euro milioni 6.5 katika akaunti ya benki pamoja na katika nyumba ya Kasisi Monsignor Scarano mjini Salerno.
Maafisa wakuu wanasema kwamba mashitaka ya sasa hivi dhidi ya Monsignor Scarano ni kuhusu kutoa michango bandia ambayo inasemekana ilitoka katika benki zingine kimataifa.

waliotembelea blog