Wednesday, July 9, 2014

Wafungaji mabao ya Ujerumani
Ujerumandiyo timu ya kwanza kufuzu kwenye Fainali ya kombe la dunia Brazil 2014, baada ya kuinyeshea wenyeji Brazil mabao 7-1 katika uwanja wa Estadio Mineirao ulioko Belo Horizonte.
Umakini wa vijana wa Joachim Low ulikuwa wa kupigiwa mfano walipoiadhibu Brazil na kuwa timu ya kwanza kuwahi kushindwa kwa mabao mengi zaidi katika hatua hiyo ya nusu fainali ya kombe la dunia.
Kabla ya mechi hiyo vyombo vya habari vilikuwa vimemulika mfumo wake Luiz Felipe Scolari vikidai alikuwa ameumba timu yake kumtegemea Neymar.
Kujeruhiwa kwa Neymar Ijumaa iliyopita ilimlazimu Scolari kubadili mfumo ambao sasa haukuwa na nyota huyo.
Je Scolari atasingizia nini ?
Fernandinho akiuhuzunika baada ya kutingwa bao la 5 na Ujerumani
Ilikuwa wazi tofauti ya mbinu za makocha hao wawili wajerumani walipoanza kwa kuwashirikisha washambulizi Miroslav Klose,Thomas Muller na Mesut Ozil huku Schweinsteigerakiwaongoza Toni Krooos Khedira na Lahm katika kiungo cha Kati.
Na Baada ya nipe nikupe ya kufungua mechi Iliwachukuwa Wajerumani takriban dakika kumi tu za kwanza kupenya safu ya ulinzi ya Brazil iliyokuwa inakosa uzoefu wa Thiago Silva.
Kilio kimetanda Brazil.
Thomas Muller alifungua kivuno hicho cha mabao kabla ya Klose kuidhibitishia Ujerumani fainali yao kombe la dunia kwa mkwaju uliomwacha kipa wa Brazil Julio Cesar asijue la Kufanya.
Klose kwa ushirikiano na Toni Kroos walifunga bao la tatu na la nne katika kipindi cha dakika moja.
Sami Kheidira alifunga la tano kunako dakika ya 29 kabla ya mchezaji wa akiba Andre Schurrle kufunga mabao ya 6 na ya 7 .
Bao la kufutia machozi la Brazil lilifungwa na Oscar kunako dakika ya mwisho ya mechi hiyo.
00:90 Oscar anaiifungia Brazil bao la kufutia machozi katika dakika ya mwisho ya mechi hii ya kihistoria .
00:70 Andre Schurrleanafanya mambo kuwa 6-0 kwa Ujerumani.
00:70 GOOOOOOOAL
Julio Cesar haamini dunia imempasukia wapi .
00:60 Ujerumani 5- Brazil
00:59 Miroslav Klose anapumzishwa Andre Schurrle anaingia
Bao la Milaslav Klose
00:58 Brazil inaendelea kutafuta angalau bao la kufutia machozi lakini Nuer hapishi
00:57
00:54' Kipa Manuel Nuer anainyima brazil bao la kufutia machozi
23:35
23:30 Ujerumani 5-0 Brazil
23:26
Ujerumani 1-0 Brazil
23:26 Toni KROOOOOS
23:24 GOOOOOOAL !Toni KROOOOS
23:20 Thomas Muller anafunga bao la pili la Ujerumani
23:20 GOOOOOOAL
23:20 Ujerumani 2-0 Brazil
Bao la Muller
Ujerumani hawajawahi kushindwa katika mechi ambayo wametangulia kufunga.
23:18 Brazil wanaonekana wameduwazwa na bao hilo la Muller
23:15 Kona kuelekea upande wa Ujerumani
23:11 Ujerumani 1-0 Brazil
23:10 Thomas Muller anaiweka Ujerumani mbele 1-0
23:10 GOOOOOOOOOAL
Muller akishangilia bao lake
23:10 Kona kuelekea lango la Brazil.
23:09 David Luiz analazimika kufanya kazi ya ziada kufuatia mashambulizi ya mjerumani
23:05 Ujerumani inashambulia lango la Brazil lakini wapi inazimwa .
23:02 Ujerumani 0-0 Brazil
23:01 Ujerumani haina matatizo ya wachezaji ikilinganishwa na Scolari ambaye amelazimika kuchezesha kikosi bila ya Neymar
Timu ya Ujerumani
23:00 Mechi Imeanza
Timu ya taifa ya Brazil itakavyokuwa katika mechi hii bila ya Neymar
22:57
22:55 Wimbo wa taifa wa Brazil unapigwa hapa uwanjani ,,mashabiki wa Brazil wanaimba
22:54 Wimbo wa taifa wqa Ujerumani unachezwa hapa mbele ya uwanja uliofurika furifuri
22:52Mashabiki wa Brazil na wale wa Ujerumani wakishangilia timu zao kabla ya mechi ya kwanza ya nusu fainali ya kombe la dunia .
Brazil inachuana Ujerumani
22:50
22:50Wenyeji wa kombe la dunia Brazil wanachuana na Ujerumani katika mechi ya kwanza ya nusu fainali.
Hofu kuwa Van Persie huenda asishiriki mechi dhidi ya Argentina
Kocha wa Uholanzi Lous van Gaal amezua taharuki baada ya kusema kuwa mashambulizi wake matata van Persie anaugua utumbo na kuwa anahofu iwapo atacheza dhidi ya Argentika katika mechi ya pili ya nudu fainali au la.
Kocha Van Gaal amesema kuwa nafasi yake huenda ikachukuliwa na Nigel de Jong iwapo daktari wa timu hiyo atadhibitisha kuwa van Persie huenda akashindwa kuhimili uchungu na hivyo kukosa mechi hiyo muhimu.
Je van Persie atacheza dhidi ya Argentina ?
Iwapo de Jong atacheza basi itakuwa mara yake ya kwanza tangu aondoke uwanjani katika mechi ambayo Uholanzi iliilaza Mexico mabao 2-1 katika raundi ya kwanza.
Kocha huyo anakila sababu ya kuwa na wasiwasi baada ya Nahodha wake kutoshiriki mazoezi siku ya kuamkia mechi hiyo muhimu , hata hivyo anaafueni baada ya kurejea kwa Ron Vlaar na Leroy Fer mazoezini.
wawili hao walikuwa wamejeruhiwa katika mechi za makundi.
Argentina inamtegemea Messi kuifungia mabao
Kwa upande wao Argentina wnaendelea na mazoezi yao kikamilifu ijapokuwa inatarajiwa kuwa Mshambulizi wa Bracelona Lionell Messi atakabidhiwa majukumu mahsusi ya kuifikisha Argentina katika fainali yao ya kwanza tangu mwaka wa 1990.
Argentina pia wanatatizika kwa kumkosa mchezaji wa kutegemewa Angel Di Maria ambaye amejeruhi paja lake lakini watakuwa na wasaidizi wake Sergio Aguero na Marcos Rojo ambao watakuwa kwa ajili ya mechi hiyo ya kihistoria kwao.
Uholanzi tofauti na Argentina imefuzu kwa fainali ya kombe la dunia mara mbili zilizopita ikimaliza ya pili mara mbili mfululizo .


KAMPUNI kubwa ya vifaa vya michezo ya Nike ya Marekani inatarajiwa kutoongeza mkataba mwingine wa kuitengenezea jezi timu ya Manchester United kutokana na gharama za mkataba mpya. Nike wamekuwa wakitengeneza jezi maarufu za United toka mwaka 2002 na mkataba wao unatarajiwa kumalizika mwakani. Kuondoka kwa Nike kunatarajiwa kutengeneza njia kwa kampuni nyingine ya vifaa vya michezo ya Ujerumani Adidas kuingia mkataba mpya na klabu hiyo yenye maskani yake Old Trafford. United imetengeneza kiasi cha paundi milioni 38 katika mkataba walioingia na Nike kwa mwaka 2012-2013, yakiwemo magwanyo ya faida kutokana na mauzo ya bidhaa zake zenye nembo hiyo duniani. Vyombo vya habari vimeripoti kuwa United sasa wanataka mkataba mpya ambao utakuwa thamani ya paundi milioni 60, kiasi ambacho Nike hawako tayari kukilipa.Jezi mpya ya Man United kwa ajili ya msimu mpya 2014/15 Nyumbani


Brazil head coach Luiz Felipe Scolari puts on his coatKocha wa Brazil Luiz Felipe hana hamu!! Hoi!! Kazi ngumu sana kwake na pia kuamini!!Germany's Andre Schuerrle celebrates after scoring the team's seventh goal during their 2014 World Cup semi-finals against Brazil at the Mineirao stadium in Belo Horizonte July 8, 2014.Andre Schürrle akishangilia moja ya bao lakeGermany's Andre Schuerrle (L) celebrates with teammate Per Mertesacker after scoring against Brazil during their 2014 World Cup semi-finals at the Mineirao stadium in Belo Horizonte July 8, 2014.Nipe tano kaka!! nimetupia mbili!!German players celebrate after the semi-final football match between Brazil and Germany at The Mineirao Stadium in Belo Horizonte during the 2014 FIFA World Cup on July 8, 2014.Mtanange umemalizika!Andre Schuerrle of Germany consoles Oscar of Brazil after Germany's 7-1 win during the 2014 FIFA World Cup Brazil Semi Final match between Brazil and Germany at Estadio Mineirao on July 8, 2014 in Belo Horizonte, Brazil.Oscar akikumbatiwa na  Andre Schürrle!! wanajuana Ligi kuu EnglandDavid Luiz of Brazil reacts as Mesut Oezil of Germany looks on after Germany's 7-1 win during the 2014 FIFA World Cup Brazil Semi Final match between Brazil and Germany at Estadio Mineirao on July 8, 2014 in Belo Horizonte, Brazil.Luiz akipagawa huku akiangaliwa kwa machungu na Mesut OzilLuiz Gustavo of Brazil reacts after being defeated by Germany 7-1 during the 2014 FIFA World Cup Brazil Semi Final match between Brazil and Germany at Estadio Mineirao on July 8, 2014 in Belo Horizonte, Brazil.Luiz Gustavo ni majanga matupu!!!Brazil's defender David Luiz (R) is consoled by Brazil's defender and captain Thiago Silva after losing the semi-final football match between Brazil and Germany at The Mineirao Stadium in Belo Horizonte on July 8, 2014, during the 2014 FIFA World Cup.Ni majonzi matupu!!! Kilio!Brazil coach Luiz Felipe Scolari (C) talks to his team at the end of the matchKocha wa Brazil Felipe akiwapoza wachezaji wake kwa kuwapa matumaini!!Brazil Captain for the game David Luiz
in tears at the final whistle as they lose 7-1 to GermanyNi Machungu! Brazil's midfielder Oscar shoots to score during the semi-final football match between Brazil and Germany at The Mineirao Stadium in Belo Horizonte on July 8, 2014, during the 2014 FIFA World Cup.Oscar akitupia!Oscar of Brazil scores his team's first goal past Jerome Boateng and goalkeeper Manuel Neuer of Germany during the 2014 FIFA World Cup Brazil Semi Final match between Brazil and Germany at Estadio Mineirao on July 8, 2014 in Belo Horizonte, Brazil.Bao la kufutia machozi lilifungwa na Oscar katika dakika ya 90Wachezaji wa Germany wakipongezana kwa kuwafunga bao 5-0 katika kipindi cha kwanzaGermany's Toni Kroos celebrates scoring his side's fourth goal of the game with teammate Germany's Sami Khedira (6) and Miroslav Klose (left) during the FIFA World Cup Semi Final at Estadio Mineirao, Belo Horizonte, Brazil.
Dakika ya 69 Andre Schürrle aliyeingia kipindi cha pili nae alijipatia bao kwa kufunga bao la sita na kufanya 6-0 dhidi ya wenyeji Brazil baada ya kupata pasi kutoka kwa Philipp Lahm. Andre Schuerrle of Germany celebrates scoring his team's sixth goal past goalkeeper Julio Cesar of Brazil during the 2014 FIFA World Cup Brazil Semi Final match between Brazil and Germany at Estadio Mineirao on July 8, 2014 in Belo Horizonte, Brazil.Dakika ya 79 Andre Schürrle alifunga tena bao la pili na kufanya 7-0 dhidi ya Wenyeji Brazil baada ya kupata mpira kutoka kwa Thomas Müller. Bao la kufutia machozi lilifungwa na Oscar katika dakika ya 90 na Mwamuzi Marco Rodriguez kutoka Mexico alipuliza kipenga na kumaliza mpira huo ambao Germany walijipatia ushindi mnono wa Bao 7-1 kwenda Fainali. Ushindi huo unawafanya wasubiri mshindi wa kesho kati ya Argentina na Netherlands. Sherehe kwa Germany!!!!Germany's goalkeeper Manuel Neuer (C) saves a shot by Brazil's midfielder Paulinho during the semi-final football match between Brazil and Germany at The Mineirao Stadium in Belo Horizonte on July 8, 2014, during the 2014 FIFA World Cup .Kipa Never akiokoa shuti langoni mwakeBrazil's defender Marcelo reacts after Germany scored during the semi-final football match between Brazil and Germany at The Mineirao Stadium in Belo Horizonte during the 2014 FIFA World Cup on July 8, 2014.Marcelo akificha uso wake ndani ya NyavuSami Khedira celebrates after scoring the fifth goal for GermanyKhedira nae alichana nyavuSami Khedira of Germany celebrates with teammates scoring his team's fifth goal as Brazil players look dejected during the 2014 FIFA World Cup Brazil Semi Final match between Brazil and Germany at Estadio Mineirao on July 8, 2014 in Belo Horizonte, Brazil.Taswira!!Tumevurugwa!!!Brazil's defender David Luiz (R) reacts as Germany's players celebrate a goal during the semi-final football match between Brazil and Germany at The Mineirao Stadium in Belo Horizonte on July 8, 2014, during the 2014 FIFA World CupBeki wa Brazil David Luiz kulia akiwa hoi!!! kajiinamia akijiuliza!!! kuna nini leo!David Luiz of Brazil walks in the tunnel after the first half during the 2014 FIFA World Cup Brazil Semi Final match between Brazil and Germany at Estadio Mineirao on July 8, 2014 in Belo Horizonte, Brazil.Mapumziko 5-0Dakika ya 23 Miroslav Klose dakika ya 24 Toni Kroos, Dakika ya 26 tena Toni Kroos akafunga bao la nne na dakika ya 29 Sami Khedira akaifungia bao la tano na kufanya 5-0 dhidi ya wenyeji Brazil akipewa pasi na Mesut Özil anayekipiga katika Ligi kuu ya England katika klabu ya Arsenal. Klose akishangilia ba lakeMiroslav Klose of Germany celebrates scoring his team's second goal during the 2014 FIFA World Cup Brazil Semi Final match between Brazil and Germany at Estadio Mineirao on July 8, 2014 in Belo Horizonte, Brazil.Bao hizo tano zilihitimishwa na kumaliza kipindi cha kwanza wenyeji Brazil wakiwa hoi! Wakiwa nyuma ya bao 5-0 kichapo kikubwa katika Hili Kombe la Dunia mwaka huu 2014 kwa Wenyeji.Brazil's defender and captain David Luiz (bottom) reacts after Germany's forward Miroslav Klose scored his team's second goal during the semi-final football match between Brazil and Germany at The Mineirao Stadium in Belo Horizonte during the 2014 FIFA World Cup on July 8, 2014.Brazil hoi!!!Germany's midfielder Toni Kroos (C) celebrates with Germany's forward Miroslav Klose (L) and Germany's defender Benedikt Hoewedes after Kroos scored his team's third goal during the semi-final football match between Brazil and Germany at The Mineirao Stadium in Belo Horizonte during the 2014 FIFA World Cup on July 8, 2014.Toni kroos nae alipachika baoBrazil's coach Luiz Felipe Scolari reacts during his team's 2014 World Cup semi-finals against Germany at the Mineirao stadium in Belo Horizonte July 8, 2014.Kocha wa Brazi Fellipe hana hamu!!! CV hana tena!!Miroslav KloseBalaa leo!!! Tutajificha wapi??4-0!!!!Klose anavunja Historia na kuweka Historia mpya!!!Kipindi cha kwanza dakika ya 11 Thomas Müller aliipachikia bao la kwanza Germany nakufanya 1-0 dhidi ya Wenyeji Brazil baada ya kupigwa kona na Toni Kroos.Thomas Muller celebrates after scoring the first goal for GermanyThomas Muller alianza kwa kuwafungulia bao hapa GermanyGermany's forward Thomas Mueller (C) celebrates with teammates after scoring during the semi-final football match between Brazil and Germany at The Mineirao Stadium in Belo Horizonte during the 2014 FIFA World Cup on July 8, 2014.Wachezaji wa Germany wakipongezanaThousands of fans at the FIFA Fan Fest in Rio de Janeiro, attend the Brazil 2014 FIFA World Cup semifinal match Brazil vs Germany --being held at Mineirao Stadium in Belo Horizonte-- on July 8, 2014.Mashabiki Brazil team group (top row left to right) Dante, Maicon, Julio Cesar, Fred, David Luiz and Luiz Gustavo. (bottom row left to right) Brazil's Oscar, Fernandinho, Bernard, Marcelo and Hulk holding the shirt of injured teammate Neymar before the FIFA World Cup Semi Final at Estadio Mineirao, Belo Horizonte, Brazil.Kikosi cha Brazil kilichoanzaGermany team group before the matchKikosi cha GermanyGoalkeeper Julio Cesar (L) and David Luiz of Brazil hold a Neymar jersey as they sing the National Anthem prior to the 2014 FIFA World Cup Brazil Semi Final match between Brazil and Germany at Estadio Mineirao on July 8, 2014 in Belo Horizonte, Brazil.Wimbo wa Taifa wa Wenyeji Brazil uliimbwaKipa wa Germany Manuel Never alianza kwa kudaka shiti kwa kile Brazil walianza mtanange kwa kasi sanaMashabiki wa Brazil tayari kwa kushangilia timu yao.
VIKOSI:
Brazil: Julio Cesar, Maicon, Dante, Luiz, Marcelo, Gustavo, Fernandinho, Hulk, Oscar, Bernard, Fred.
Subs: Jefferson, Dani Alves, Paulinho, Maxwell, Henrique, Ramires, Hernanes, Willian, Jo, Victor.
Germany: Neuer, Lahm, Boateng, Hummels, Howedes, Schweinsteiger, Khedira, Muller, Kroos, Ozil, Klose.
Subs: Zieler, Grosskreutz, Ginter, Schurrle, Podolski, Draxler, Durm, Mertesacker, Gotze, Kramer, Weidenfeller.
Referee: Marco Rodriguez (Mexico)

waliotembelea blog