Thursday, February 20, 2014



dokii_A_729cd.jpg
aliyekuwa msanii maarufu wa maigizo hapa nchini Dokii ambaye sasa anajishughulisha na sanaa ya muziki hasa katika mambo ya siasa sasa yupo katika manispaa ya Iringa tayari kwa kuwapa burudani mashabiki wake hasa wale wa CCM kwa kuwa ameenda katika eneo hilo kwa sababu ya kampeni za mgombea nafasi ya ubunge kupitia tiketi ya CCM, Bw. Godfrey Mgimwa katika jimbo la Kalenga atakayekuwa akipambana na mgombea mwenzake kupitia tiketi ya CCM, Bi. Grace Tendega ifikapo Machi 16, 2014 (siku ya uchaguzi) msanii huyo alisema ameupenda sana mji wa Iringa na kuvutiwa na hali ya hewa ya eneo hilo.
dokii_B_aad3e.jpg
msanii ''Dokii'' akiwa katika pozi karibu na eneo la jengo la ofisi kuu ya chama cha mapinduzi (CCM) katika manispaa ya Iringa. msanii huyo aliwaambia mashabiki wake wakae mkao wa kula kwani amekuja kwa ajili ya wana CCM hivyo aliwataka watu wengi kuja katika tukio hilo ili kujipatia burudani ya kipekee na kuahidi kuwa atakibeba chama chake.





waliotembelea blog