Friday, February 14, 2014





Februari 14 wapendanao duniani huitumia siku hii kusherehekea na wapendwa wao wakijumuika kula na kunywa. Mjengwa blog tunakuletea historia fupi ya siku hii ya wapendanao aka Valentine's day
Asili ya siku ya wapendanao "Valentine's Day" ni St Valentine, mhubiri wa kikristo aliyekuwa akiishi karibu na mji wa Roma katika karne ya tatu wakati wa utawala wa Claudis II.
Claudis alitaka awe na jeshi kubwa akategemea vijana wangejitolea na kujiunga na jeshi lake.
Lakini vijana wengi hawakupenda vita kwakuwa hawakutaka kuziacha familia zao na watoto wao.
Claudis akafikiria akaona hawa vijana kuwakomesha waingie jeshini ni kupiga marufuku watu kuoana.Kuanzia hapo akapiga marufuku watu kuoana akitegemea vijana hawatajali sasa kujiunga na jeshi kwasababu ya familia zao.
Askofu Valentine naye kwa siri akawa anawafungisha ndoa vijana hao kwa siri.
Claudius aliposikia habari hizo aliamuru Valentine akamatwe na akahukumiwa adhabu ya kifo cha kunyongwa.
Wakati akiwa jela akisubiri siku yake ya kunyongwa Valentine alikuwa akitembelewa na vijana waliokuwa wakimpelekea maua kuonyesha wako pamoja nae.
Mmoja wa vijana waliokuwa wakienda kumtembelea ni mtoto wa mkuu wa gereza ambaye aliruhusiwa kuingia mpaka kwenye selo la Valentine "kupiga naye stori".
Inasemekana kwamba Valentine aliangukia katika mapenzi na binti huyo wa mkuu wa gereza wakati anasubiria kunyongwa.
Inasemekana kwamba muda mchache kabla hajanyongwa Valentine aliomba kalamu na karatasi na kuandika meseji yake ya kuaga akiweka sahihi "From Your Valentine" ( kutoka kwa Valentine wako )
Valentine akanyongwa tarehe 14 februari mwaka 269 AD.
Baada ya kunyongwa kwa Valentine, vijana wa Roma walianza kumuiga Valentine na kuwaandikia na kuwatumia wanawake waliowapenda salamu za mapenzi.
Tangia siku hiyo tarehe hiyo ikaanza kuhusishwa urafiki, upendo na mahaba duniani huku ikihusishwa zaidi na mambo ya mapenzi.
Siku hiyo imezidi kuwa maarufu kila miaka inavyoenda huku huku makampuni yakiigeuza siku hiyo kuwa ya biashara zaidi kwa kufanya kila kitu maalumu kwa siku ya wapendanao kionekane kuwa inabidi kiwe chekundu kuanzia kadi za salamu, maua, mpaka nguo wavaazo wapendanao inabidi ziwe nyekundu.
Kuna watu wengi pia ambao hawasherehekei siku hii kwa kuhoji umuhimu wa kuonyesha kumjali umpendaye katika siku moja tu ya mwaka badala ya siku zote 365.
HAPPY VALENTINE'S 






FIFA Leo imetoa Listi ya Ubora Duniani na zile Nchi 3 za Juu, Spain, Germany na Argentina, bado ziko pale pale na Portugal kupanda nafasi moja na kukamata Nambari ya 4 huku Tanzania ikipanda Nafasi mbili na kushika Nafasi ya 116.
Brazil, Wenyeji wa Fainali za Kombe la Dunia hapo Juni, wamepanda Nafasi moja hadi Nafasi ya 9 lakini England imezidi kuporomoka na safari hii imeanguka Nafasi mbili na kuwa wa 15.
Nchi ya Afrika ambayo iko Juu kabisa ni Ivory Coast ambayo iko Nafasi ya 23 baada ya kuanguka Nafasi 6.

Listi nyingine ya Ubora itatolewa hapo Machi 13.
20 BORA:
1. Spain
2. Germany
3. Argentina
4. Portugal (+1)
5. Colombia (-1)
6. Switzerland (+2)
7. Uruguay (-1)
8. Italy (-1)
9. Brazil (+1)
10. Netherlands (-1)
11. Belgium
12. Greece
13. United States (+1)
14. Chile (+1)
15. England (-2)
16. Croatie
17. Bosnia-Herzegovina (+2)
18. Ukraine
18. France (+2)
20. Denmark (+5)




Young Africans kesho itashuka dimbani kucheza mchezo wa marudiano dhidi ya timu ya Komorozine de Domoni ya Anjuan Visiwa vya Comoro katika mchezo wa Klabu Bingwa Barani Afrika utakaofanyika mji wa Mitsamihuli kwenye uwanja wa Sheikh Said Mohamed International kuanzia majira ya 9 kamili mchana kwa saa za Afrika Mashariki.
Mara baada ya jana jioni kufanya mazoezi mepesi katika uwanja mdogo wa hotel ya Retaj, leo kikosi cha Young Africans kimeweza kufanya mazoezi asubuhi majira ya saa 5 ausbuhi katika Uwanja wa Sheikh Said kwa ajili ya kuuzoea tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho.
Kocha mkuu wa Young Africans Hans Van der Pluijm amesema anashukuru kikosi chake kipo vizuri kuelekea mchezo huo na hakuna mchezaji majeruhi hata mmoja hivyo anapata fursa ya kuchagua amtumie nani katika mchezo huo.
Akiongelea wapinzani timu ya Komorozine de Domoni amesema hawajaidharaua mechi ya kesho kama watu wengi wanavyofikiria, kikubwa amewaandaa vijana wake waeze kufanya vizuri na kupata ushindi, "Kwangu mie hakuna mechi ndogo wala mchezo wa kirafiki" alisema Hans.
Young Africans itashuka dimbani kucheza mchezo huo wa marudiano ikiwa na kumbukumbu nzuri ya ushindi wa mabao 7-0 iliyoupata katika mchezo wa awali uliofanyika jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.
Thulani Serero 



Ajax Amsterdam nyota Thulani Serero ilikuwa ni pamoja na katika Bafana Bafana kikosi kwa uso 2014 Kombe la Dunia majeshi Brazil katika wa kimataifa wa kirafiki juu ya Machi 5.
Serero akaanguka nje ya neema wakati wa Bafana ya Kombe la Dunia kufuzu madai kwamba alikuwa faked kuumia kufuatia.
Bafana Bafana kocha Gordon Igesund leo ilitangaza kikosi cha watu 23 kuchukua 2014 FIFA World Cup majeshi Brazil katika mechi ya kirafiki ya kimataifa uliopangwa kufanyika kwa Jumatano Machi 5, 2014.
kikosi ina umri wa wastani wa miaka 24 na wingi ni kutoka kwa timu ya kwamba kushindwa Dunia na Ulaya ya Mabingwa Hispania 1-0 katika ukumbi huo katika Novemba mwaka jana.
"Ni si ya kila siku ambayo mtu anapata kucheza dhidi ya tano wakati dunia mabingwa. Hii ni fursa kubwa kwa sisi kuendelea kutoka ambapo sisi kushoto mbali dhidi ya Hispania mwaka jana. Sisi alicheza Brazil katika Sao Paolo na ufinyu kupoteza kwa bao 1-0. Wao ni majeshi ya 2014 Kombe la Dunia, hivyo wao dhahiri kuwa kuchukua mechi hili kwa umakini kama unaweza kuona kutoka kikosi wao kuchaguliwa, "alisema Igesund.
"Mimi pia kuwa na mengi ya kujiamini katika kikosi mimi kuchaguliwa na mimi tunaamini kuwa ushindani sana juu ya usiku. Hii inapaswa kuwa changamoto nzuri sana kwa wachezaji. "
Tiketi kwa ajili ya mechi hii ni tayari juu ya kuuzwa katika Computicket, Shoprite, Checkers na Shoprite / Checkers maduka nchini kote.
Wao ni kwenda kwa ajili ya R50 kwa daraja ya juu; R200 kwa tier katikati na R100 kwa chini tier.
Brazil iliyotolewa kikosi cha wachezaji 16 msingi katika Ulaya kuchukua Bafana Bafana. Zaidi wachezaji msingi katika Brazil kuongezwa kwa kikosi katika siku zijazo.
Kamili Bafana Bafana Squad:
Makipa: Itumeleng KHUNE (C) (Kaizer Chiefs), Ronwen WILLIAMS (Supersport United)
Watetezi wa: Thabo NTHETE (Sundowns), Bongani Khumalo (Doncaster Rovers), Buhle Mkhwanazi (Tuks), Siyanda XULU (FC Rostov (Russia), Anele NGCONGCA (Racing Genk FC (Ubelgiji), Thato MOKEKE (Supersport United), Thabo MATLABA ( Orlando Pirates FC (SA)
Viungo: Dean FURMAN (Doncaster Rovers FC (Eng), Kagisho DIKGACOI (Crystal Palace FC (Eng), Siphiwe Tshabalala (Kaizer Chiefs), Daylon CLAASEN (Lech Poznan FC (Poland), Thulani SERERO (Ajax Amsterdam FC (Holland), Andile Jali (Oostende), Oupa MANYISA (Orlando Pirates), Ayanda PATOSI (Lokeren FC (Ubelgiji), Lindokuhle MBATHA (Platinum Stars), Bongani Zungu (Sundowns), Hlompho KEKANA (Sundowns)
Washambuliaji: Bernard PARKER (Kaizer Chiefs), Tokelo RANTIE (Bournemouth FC (Eng), Dino Ndlovu (Supersport United FC (SA).
Brazil Squad:
Kipa:
Julio Cesar (QPR / ENG)
Watetezi wa:
Thiago Silva (Paris SG / FRA), David Luiz (Chelsea / ENG), Dante (Bayern Munich / GER), Dani Alves (FC Barcelona / ESP), Rafinha (Bayern Munich / GER), Marcelo (Real Madrid / ESP)
Viungo:
Paulinho (Tottenham / ENG), Fernandinho (Manchester City / ENG), Luiz Gustavo (Wolfsburg / GER), Ramires (Chelsea / ENG), Oscar (Chelsea / ENG), WILLIAN (Chelsea / ENG)
Washambuliaji:
Neymar (Barcelona / ESP), Hulk (Zenit St Petersburg / rus), Bernard (Shakhtar Donetsk / UKR

D92A8482 
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete shake hands with CCN’s Reporter  Christiane Amanpour shortly after an exclusive interview at CNN’s London Studios this evening.During an interview on Illegal Wildlife Trade, President Kikwete descibed the trade as “Madness and a very serious matter,” that calls for joint effort to end the bloody trade.President Kikwete was in London to attend the “London Conference on Illegal Wildlife Trade.”(photos by Freddy Maro

waliotembelea blog