Santi Cazorla akiteta na Aaron Ramsey wakati wa Mazoezi hii leo huko London Colney kwenye Uwanja wa Mazoezi tayari kwa kipute chao na Spurs kesho jumamosi. Dabi ya London Kaskazini.
Cazorla akiwa full matabasamu
Hector Bellerin akifanya yake kwenye Mazoezi leo Ijumaa
Jumamosi kesho ndani ya White Hart Lane, Wenyeji Tottenham wataikaribisha Arsenal kwenye Dabi ya London ya Kaskazini na Mechi hii licha ya kuwa ni Dabi pia ina ushindani wake wa kulilia kuwemo 4 Bora kwani Arsenal wako Nafasi ya 5 wakiwa Pointi 2 mbele ya Tottenham walio Nafasi ya 6.
Alisajiliwa mwezi jana Januari Krystian Bielik na leo kafanya mazoezi tayari kwa kipute cha kesho kati yao na Spurs kipute kitakachoanza mapema kesho jumamosi.
Spurs VS Arsenal
Cazorla, Ramsey, Per Mertesacker, Gabriel Paulista na Theo Walcott kwenye Mazoezi leo Ijumaa tayari kwa kukutana uso kwa uso na Spurs kesho Jumamosi kwenye Dabi ya London Kaskazini.
Nacho Monreal
Cazorla kwenye Mazoezi hii leo Ijumaa kwenye Uwanja mazoezi wa London Colney
Calum Chambers mchezaji aliyekuwa akikipiga katika Klabu ya Southampton na sasa akikipiga Klabu ya Gunners akisalimiana na Meneja Arsene Wenger wakati wa Mazoezi hii leo Ijumaa.
Serge Gnabry
David Ospina kipa anayetumika badala ya Wojciech Szczesny ambaye ni No 1 kwenye Klabu ya Arsenal
Meneja wa Arsenal Wenger akiwacheki Vijana Wake leo wakati wa Mazoezi