Baada ya kumaliza ziara yake nchini Marekani, Msanii Ommy Dimpoz amekuwa
busy kutangaza brand yake ya PKP Kupitia mahojiano tofauti anayo pata.
Hizi picha chache kutoka Instagram ya Dimpoz. PKP Itakuwa kampuni yenye
bidha nyingi nz wasanii wa Na kusimamia kazi za sanaa na wasanii. Dimpoz
ameniambia hataweza kuimba maisha yake yote so Pkp ni biashara yake
wakati na baada ya kufanya muziki. Umeipenda Pkp ?
Picha Zaidi Hapa
Picha Zaidi Hapa