Wednesday, December 18, 2013


Kocha wa muda wa Spurs Tim Sherwood
Kocha wa muda Tim Sherwood alipofika uwanjani na kocha mwenzake Chris Ramsey kushoto
Kipindi cha pili dakika ya 67 Emmanuel Adebayor akawapatia bao Spurs
.
Ndani ya dakika 5 za kipindi cha pili na dakika za lala salama West Ham wakasawazisha na kuwaongezea tena bao Spurs, Bao zikifungwa dakika ya 80 na Matthew Jarvis na dakika ya 85 mfungaji ni Modibo Maíga.
In the stands: Tottenham chairman Daniel Levy (centre) keeps an eye on proceedings at White Hart Lane
Mwenyekiti wa Tottenham chairman Daniel Levy (katikati) White Hart Lane akijionea kibano kingine tena kwenye uwanja wao
 
P

 
Adebayor hoi

RATIBA
ROBO FAINALI

Jumatano Desema 18
Stoke 0 v Man United 2
Tottenham 0 v West Ham 2


Raja Casablanca scored twice in the last 10 minutes to stun Brazil's Atletico Mineiro in their Club World Cup semi-final and earn a place in the final against Bayern Munich.
Raja, who qualified as champions of host nation Morocco, took the lead early in the second half when Mouhssine Iajour was sent clear on the right and fired a low shot past Victor.
But former Barcelona and AC Milan star Ronaldinho curled a free-kick in off the post to level for the South American champions.
Raja regained the lead in the 83rd minute when Rever was adjudged to have tripped Iajour, although replays suggested no contact was made.

Mohaine Moutaoali fired home the controversial penalty in the 83rd-minute and Vivien Mabide wrapped it up in the fourth minute of stoppage time with a breakaway goal.
At the end of the match Raja fans surrounded Ronaldinho to ask for his shirt and took off his boots.
Raja will now face European champions Bayern in Saturday's final in Marrakesh.
Raja Casablanca's Mohsine Moutaouali scores a goal during the semi final soccer match between Raja Casablanca and Atletico Mineiro at the Club World Cup soccer tournament in Marrakech, Morocco, Wednesday, Dec. 18, 2013. Photo: Christophe Ena, AP / AP
It will be only the second time since the tournament has been played in its current format in 2005 that the final has not been between a South American and European team. Raja Casablanca's Mohsine Moutaouali celebrates after scoring his side's second goal during their semi final soccer match between Raja Casablanca and Atletico Mineiro at the Club World Cup soccer tournament in Marrakech, Morocco, Wednesday, Dec. 18, 2013. Photo: Matthias Schrader, AP / AP 
Raja Casablanca's Mohsine Moutaouali, left, kicks the ball as Atletico Mineiro's Victor dives during the semi final soccer match between Morocco's Raja Casablanca and Brazil's Atletico Mineiro at the Club World Cup soccer tournament in Marrakech, Morocco, Wednesday, Dec. 18, 2013. Photo: Christophe Ena, AP / AP 
.Atletico Mineiro's Ronaldinho, left, scores  during the semi final soccer match between Raja Casablanca and Atletico Mineiro at the Club World Cup soccer tournament in Marrakech, Morocco, Wednesday, Dec. 18, 2013. Photo: Matthias Schrader, AP / AP

Mpira ulistishwa kwa muda baada ya kutokea upepo mkali na hali ya hewa mbaya huku mabarafu yakianguka hali iliyomfanya mwamuzi kusimaisha mpira kwa dakika chache kama 10 kwenye uwanja wa Stoke City Britannia Stadium.
Kipindi cha kwanza kilimalizika wakiwa nguvu sawa ya bila kufungana. Ndipo kipindi cha pili United wakafanya mabadiliko Anderson akatoka na nafasi yake ikachukuliwa na Chicharito na mpira ukabadilika kwa upande wa United mashambulizi yakazidi.
Kipindi cha pili dakika ya 62 Ashley Young akaachia shuti kali lililomshida kudaka kipa wa Stoke Thomas Sorensen na kuzama hadi ndani ya nyavu za Stoke City. Bao la pili kwa United limefungwa na Evra dakika ya 78 baada ya kupewa pasi na Young na hatimaye Evra kupaisha kwa juu mpira na kumfunga kipa wa Stoke kiulaini. Manchester leo wamecheza bila nyota wao Wayne Rooney na mastaa wengine!
 
 
Mpira ulilazimika kusimama kama dakika 10, wachezaji wa Stoke City wakitoka uwanjani kwa muda baada ya hali ya hewa kuchafuka..
RATIBA
ROBO FAINALI  

Jumatano Desema 18
Stoke 0 v Man United 2
Tottenham 1 v West Ham 2


CHEGE NA TEMBA WASEMA KUIFANYIA VIDEO NGOMA YAO YA TUNAFURAHI, ITAKUA NI KURUDI HATUA NNE NYUMA, BADALA YAKE WAKO KTK MICHAKATO YA KUZIFANYIA VIDEO PROJECT ZAO MPYA MPYA,
NA KUANZIA LEO CHEGE ANA SHOOT MUSIC VIDEO YA CHAPA NYINGINE, CHINI YA DIRECTOR ADAM JUMA WA VISUAL LAB AMBAYE SIKU HIZI KWENYE VICHUPA ANAVYO VISIMAMIA HUWA ANATUMIA SIGN YA AJ BADALA YA VISUAL LAB, HII NI TANGU ATANGAZE KUACHA KUFANYA VIDEOZ MIEZI KADHAA ILIYOPITA,
Ndege aina ya Boeing 767 inayosadikiwa kuwa ni ya Shirika la Ndege la Ethiopia imetua kwa dharura majira ya saa tisa alasiri katika kiwanja cha kurushia ndege ndogo cha Arusha badala ya kiwanja cha ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro, KIA.
Abiria zaidi ya mia mbili waliokuwemo kwenye ndege hiyo wamenusurika kifo, wanasubiri msaada ngazi waweze kushushwa. 
  
 



 


  • Hata hivyo, Waingereza ni watu makini na ambao linapokuja suala kama hilo, huweza kutumia baadhi ya nguvu kulisukumiza mbali kana kwamba haliwahusu kabisa.

KAMA siku 10 zilizopita kuliibuka habari kuhusu kashfa ya upangaji matokeo katika soka la England.
Mambo haya yamepokewa kwa mtikisiko na hisia tofauti kwa sababu yanaweza kuathiri ile hadhi ya soka la hapa, hasa ikizingatiwa kwamba England ndiyo nchi yenye ligi maarufu zaidi duniani.
Hata hivyo, Waingereza ni watu makini na ambao linapokuja suala kama hilo, huweza kutumia baadhi ya nguvu kulisukumiza mbali kana kwamba haliwahusu kabisa.
Hata katika hili, wengi niliozungumza nao wamesema kwamba kwanza si kitu kipya katika historia ya soka, lakini wengine wanakazia kwamba wanaohusishwa na kashfa hiyo ni wachache hivyo washughulikiwe kikamilifu. Kuna jamaa mmoja ambaye amepata kufanya kazi Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) ambaye anasema haya ni mambo sawa na ndoto za mchana na yapuuzwe tu.
Katika madai yaliyotolewa wiki iliyopita, baadhi ya wachezaji (bahati mbaya ni Waafrika au wana asili ya Afrika na Singapore), wanadai kwamba walizoea kupanga matokeo kwa namna ya kuziathiri timu zao.
Mnigeria mmoja, Sam Sodje, anasema alikuwa akitengeneza mambo kwa kupewa fedha hadi Pauni 70,000 ili acheze faulo mpaka aonyeshwe kadi za njano au hata nyekundu.
Lakini pia aliwashawishi wachezaji wengine ndani na nje ya timu yake akiwa wakala wa rushwa na upangaji matokeo kisha wakapata kulipwa, yote hayo aliyafanya katika soka la England.
Hili ni jambo linalowaumiza sana watu wa hapa, hivyo kuna wanaoshauri wote waliohusika wafungiwe maisha.
Haya mambo husanuka katika hali ya ajabu, kwa vile awali huwa ni siri kubwa kati ya ‘wakala’ na mchezaji anayefikiwa kwa ajili ya kuisaliti timu yake ili ifungwe.
Hata hivyo, kwa kuwa wanasema za mwizi ni 40, mazungumzo yangu na baadhi ya wadau yanaonesha kwamba siri hii hushindikana kufichwa kwa sababu mbalimbali.
Moja ni utoto au ulevi wa wachezaji wanaohusishwa na kashfa hizo, ambapo hushindwa kuhifadhi vifuani mwao siri husika wanapokuwa kwenye maeneo ya starehe.
Lakini pili, kwa hapa England suala la kamari ni kubwa japo mizizi yake mikubwa ipo kule barani Asia.
0
Share

 

gallery-1
Jaquar is one of Kenya’s highest earning musicians and with good reason. The lad has been releasing hit after hit and he has honestly displayed lasting power. So it comes as no surprise that when he wants to treat himself, he spends sufficiently to by a state of the art luxury vehicle and as I told you earlier in the year, he settled for a Jaguar XJ
ddb14b72644611e387a51204e168d656_72010-jaguar-xj1
Source: Gafla Kenya

Mbunge wa Iramba Magharibi, mh. Mwigulu Nchemba  leo  asubuhi  aliomba  mwongozo  wa  Spika  wa  bunge  akimtuhumu Mh. Mbowe  kwamba  amekuwa  akitumia  madaraka  yake  vibaya  kwa  kuchanganya  mapenzi  na  kazi, hali  inayolichafua  bunge  la  Tanzania  katika  tawsira  za  kimataifa.....

Mwigulu  ameliambia  bunge  kuwa ,  Mbowe alipiga  simu  kutaka  kusitishwa   kwa  safari ya
mbunge wa viti maalumu Chadema mkoa wa Arusha Joyce Mukya (inasemekana ni mpenzi wake) aliyekuwa  ametumwa  na bunge   kwenda  Dominica Republic  kwa  ajili  ya  kazi  za  bunge....
 
Kwa  mujibu  wa Mwigulu, Joyce  akiwa  huko  alipigiwa  simu  na  Mbowe  akimtaka  akatishe  safari  hiyo  na   badala yake  aelekee  Dubai  kula bata  na Mbowe, kitu  ambacho  amedai  kuwa  ni  matumizi  mabaya  ya  pesa  za  bunge ( posho) ...

Aidha , Mwigulu ameliomba  bunge  lifanye uchunguzi  kuhusu posho zilizotolewa  kwa mbunge huyo ambaye  alikatisha  safari  halali  ya  bunge  na  kumfuata  mpenzi wake ( Mbowe )  Dubai.


magogoni 
Kivuko kikubwa cha Mv Magogoni kinachofanya safari zake kati ya Kivukoni na Kigamboni jijini Dar es Salaam kimekosa muelekeo majini katika bahari ya Hindi kikiwa na abiria na magari baada ya injini zake kushindwa kufanya kazi,Mpaka sasa sababu ya injini kushindwa kufanya kazi hazijatoka.
Shuhuda anasema ‘Tulikua wanatoka Dar kwenda Kigamboni,hatua chache kabla ya kufika Kigamboni injini zilizima,baada ya kuzima zikaja Tag kwa ajili ya kutuvuta mpaka ng’ambo ya pili ambayo ni Kigamboni,na ilituchukua dakika 45 mpaka kuvutwa ng’ambo ya Kigamboni’
Taarifa kamili zinafata endelea kufatilia kupitia millardayo.com
magogoniii


KOMBE la CAPITAL ONE CUP, leo Jumanne na kesho Jumatano litakuwa na Mechi zake za Robo Fainali.
USIKU huu Jumanne ni Leicester City, Timu inayocheza Daraja la Championship, kuwa Wenyeji wa Vigogo wa Ligi Kuu England, Manchester City, na Mechi ya pili ni ya Timu za Ligi Kuu England huko Stadium of Light kati ya Sunderland na Chelsea.

Wachezaji wa Manchester City wakipongezana na kumpongeza Aleksandar Kolarov 8 baada ya kuwafungia bao mapema dakika ya 8.
Edin Dzeko ameifungia bao la pili dakika za lala salama dakika ya 41 nakufanya 2-0 na kwenda mapumziko City wakiwa vifua wazi kwa bao 2.
Dakika ya 53 Edin Dzeko akafunga tena bao jingine la tatu. 
Dzeko akishangilia baada ya kuiua Leicester bao la tatu na kufanya 3-0
Advantage doubled: Dzeko is congratulated after scoring Man City's second goal of the night
 
 
Brace: Dzeko places the ball past Leicester defender Ignasi Miquel to double his goal tally
 
Consolation: Leicester wideman Lloyd Dyer rifles the ball home with thirteen minutes of the game to go
Lloyd Dyer akifunga bao lao la pekee kipindi cha pili dakika ya 77 na mpira kumalizika kwa 3-1
Frank Lampard/Lee Cattermole kwenye patashika kwenye lango la Sunderland
Lee Cattermole alipojifunga dakika ya 46 na chelsea kuzawadika kwa bao hilo lililodumu kwa muda

Askari akianguka chini baaja ya kushindwa kukamata jamaa aliyeingia kifua wazi uwanjani

Shabiki alishangilia kama vile yeye kafunga bao...

Jose Mourinho na Gus Poyetwakabaki wanacheka kwa muda!! baada ya kushuhudia shabiki hilo likishangilia na kuona kama linamwongezea giza mzee Mourinho...

Dakika za majeruhi dakika ya 88 Fabio Borini akaisawazishia bao Sunderland na mtanange kuwa 1-1 na mpira kumalizika na kuongezewa muda wa dakika 30. 
Dakika za mwishoni za dakika za nyongeza 30 mchezaji wa Sunderland Sung-Yong Ki akaimaliza Chelsea kwa shuti lake na Chelsea kulala kwa bao 2-1.Balaa!!!!Majanga!!!  Sung-Yong Ki (kulia) baada ya kufunga bao dakika za majeruhi za nyongeza za dakika 120 na jezi yake akifurahia baada ya kuimaliza Chelsea usiku huu.

ROBO FAINALI
Jumanne Desemba 17
Leicester 1 v Man City 3
Sunderland 2 v Chelsea 1



LEO Jumatano Desema 18
Stoke City v Manchester United
Tottenham v West Ham United

waliotembelea blog