Kocha
wa muda wa Spurs Tim Sherwood
Kocha wa muda Tim Sherwood alipofika uwanjani na kocha mwenzake Chris Ramsey kushotoKipindi cha pili dakika ya 67 Emmanuel Adebayor akawapatia bao Spurs.Ndani ya dakika 5 za kipindi cha pili na dakika za lala salama West Ham wakasawazisha na kuwaongezea tena bao Spurs, Bao zikifungwa dakika ya 80 na Matthew Jarvis na dakika ya 85 mfungaji ni Modibo MaÃga.
Mwenyekiti wa Tottenham chairman Daniel Levy (katikati) White Hart Lane akijionea kibano kingine tena kwenye uwanja wao
P
Adebayor hoi
RATIBA
ROBO FAINALI
Jumatano Desema 18
Stoke 0 v Man United 2
Tottenham 0 v West Ham 2
ROBO FAINALI
Jumatano Desema 18
Stoke 0 v Man United 2
Tottenham 0 v West Ham 2
0 maoni:
Post a Comment