Friday, February 7, 2014

article-2553714-1B28E72E00000578-952_636x382
Mwamuzi aliyechezesha mchezo wa ligi kuu ya Hispania kati ya Athetico Bilbao VS Real Madrid na kumtoa kwa kadi nyekundu mwanasoka bora wa dunia Cristiano Ronaldo wikiendi iliyopita amesimamishwa. 
Kamati ya marefa nchini Spain imemuadhibu refa  Miguel Angel Ayza Gamez kwa kumsimamisha kwa mwenzi mzima na huku akiondolewa katika isti ya marefa watakaochezesha mechi za Real Madrid zilizobakia msimu huu. 
Refa huyo alitoa kadi nyekundu kwa Ronaldo ambayo ilionekana kuwa na utata mkubwa jambo lilopelekea malalmiko kutoka kwa klabu ya Real Madrid.
Kutokana na kadi hiyo nyekundu ya moja kwa moja Ronaldo amefungiwa kucheza mechi tatu na atazikosa mechi tatu zijazo za timu yake dhidi ya Villarreal, Getafe na Elche.
Hata hivyo kufungiwa kwa refa huyo aliyemsababishia kufungiwa huko kunaweza kuipa nguvu Real Madrid kukata rufaa dhidi ya kadi hiyo ya Ronaldo.

Nemanja Vidic amethibitisha ataondoka Klabu hiyo mwishoni mwa Msimu huu.
Vidic, Raia wa Serbia mwenye Miaka 32, anamaliza Mkataba wake na Man United mwishoni mwa Msimu huu kwenye Klabu aliyoanza kuichezea Mwaka 2006.

Vidic alitoa Taarifa kwenye Tovuti ya Man United na kusema: “Sifikirii kubakia England kwani Klabu pekee niliyotaka kuchezea ni Manchester United. Sikutegemea kushinda Vikombe 15. Hata hivyo nimeamua kuondoka mwishoni mwa Msimu.”

Vidic, ambae alihamia Man United kwa Dau la Pauni Milioni 7 kutoka Spartka Moscow Mwaka 2006, alikuwa ndie Nahodha wakati Man United inatwaa Taji la Kihistoria la 20 la Ubingwa wa England Msimu uliopita ambao ndio ulikuwa wa mwisho wa Meneja Sir Alex Ferguson alieamua kustaafu.

Vidic aliongeza kusema: “Nimekuwa na Miaka 8 bora hapa. Muda wangu wote kwa Klabu hii ndio muda wangu bora katika mafanikio yangu maishani mwangu. Daima sitahasau Usiku ule huko Moscow [Wakati Man United wanaibwaga Chelsea na kutwaa Ubingwa wa Ulaya Mwaka 2008] kumbukumbu daima zitabaki kwangu na Mashabiki!”

Zipo taarifa kuwa Vidic atakuwa Italy Msimu ujao huku Klabu za Juventus, Inter Milan na Fiorentina zikimuwinda.
amethibitisha ataondoka Klabu hiyo mwishoni mwa Msimu huu.

Ijumaa Februari 7

RCD Espanyol v Granada CF
Jumamosi Februari 8
Valencia v Real Betis
Rayo Vallecano v Malaga CF
Real Madrid CF v Villarreal CF
UD Almeria v Atletico de Madrid
Jumapili Februari 9
Osasuna v Getafe CF
Real Valladolid v Elche CF
Real Sociedad v Levante
Sevilla FC v FC Barcelona
Jumatatu Februari 10
Celta de Vigo v Athletic de Bilbao

MSIMAMO ULIVYO KWA SASA LA LIGA:

2013/2014 SPANISH PRIMERA DIVISIÓN TABLE

OVERALL
HOME
AWAY

POS
TEAMPWDLFA
WDLFA
WDLFA
GDPts
1Atletico Madrid2218315614
1020387
811187
4257
2Barcelona2217325916
1001369
731237
4354
3Real Madrid2217326122
901328
8312914
3954
4Athletic Bilbao2213454228
9302812
4151416
1443
5Villarreal2212464223
7322613
5141610
1940
6Real Sociedad2210664234
721277
3451527
836
7Sevilla FC228774137
5232113
3542024
431
8Valencia2284103135
5242015
3261120
-428
9Levante227782230
3531010
4251220
-828
10Espanyol2275102529
5241413
2361116
-426
11Celta Vigo2274112935
3441315
4071620
-625
12Getafe2274112234
4441515
307719
-1225
13Malaga2266102229
5151514
155715
-724
14Granada2273122029
3181315
424714
-924
15Elche2266102032
4351011
2351021
-1224
16Osasuna2264121937
3251016
327921
-1822
17Almeria2264122241
3341115
3181126
-1922
18Real Valladolid2248102437
3431211
1471226
-1320
19Rayo Vallecano2252152151
2081227
327924
-3017
20Real Betis2235142047
3361219
028828
-2714

waliotembelea blog