SAFU
ya Raundi ya Mtoano ya Timu 16 ya UEFA CHAMPIONS LIGI, UCL, imekamilika
Jana na Timu za England, Arsenal na Chelsea, zilishinda hapo Jana na
kutinga Mtoano.
Timu hizo zinaungana na Chelsea iliyofuzu mapema ikiwa na Mechi 2 mkononi.
Juzi Man United ilitolewa UCL na kutupwa UEFA EUROPA LIGI baada ya kumaliza Nafasi ya 3 kwenye Kundi B.
Man United sasa itacheza Raundi ya Mtoano ya Timu 32 ya Kombe hilo.
Droo za kupanga Mechi za Raundi ya Mtoano ya UCL na ile ya EUROPA LIGI itafanyika Desemba 14.Giroud akishangilia mbele ya Meneja Wenger3-0Bao hilo lilifungwa kwa kupitia mkwaju wa penatiKipa Roberto hakuona ndaniGiroud akishangilia bao lakeGiroud pia ndie aliyefunga bao la pili na kufanya 2-0Pongezi zikiambatana na mshangao!Meneja Arsene WengerFlamini na Kassami wakigombea mpira wa kichwaKikosi cha ArsenalArsene Wenger na Msaidizi wake Kabla ya Mechi!