Monday, November 9, 2015


Steven Gerrard nae ndani akishuhudia timu yake ya zamani LiverpoolBolasie (wa pili kushoto) akishangilia bao lake VIKOSI:
Liverpool XI:
Mignolet, Clyne, Sakho, Skrtel, Moreno, Lucas, Can, Lallana, Ibe, Coutinho, Benteke
Akiba: Bogdan, Lovren, Firmino, Allen, Origi, Brannagan, Teixeira
Crystal Palace XI: Hennessey, Kelly, Dann, Delaney, Souare, Zaha, Cabaye, McArthur, Puncheon, Sako, Bolasie
Akiba: Speroni, Ward, Hangeland, Ledley, Mutch, Bamford, Wickham


M. Samata anaipatia bao dakika ya 74, Bao la pili daika ya 90 kupitia kwa R. Assalé
TP Mazembe, wakiwa kwao Stade du TP Mazembe Lubumbashi, Congo DR, wamenyakua Ubingwa wa Afrika baada ya kushinda Mechi ya Pili ya Fainali ya CAF CHAMPIONZ LIGI kwa kuitwanga Union Sportive Medina d’Alger Bao 2-0 huku Straika mahiri wa Tanzania Mbwana Samatta akifunga Bao la Kwanza.

TP Mazembe imenyakua Ubingwa huu wa Afrika, ikiwa ni mara yao ya 5, kwa Jumla ya Mabao 4-1 baada ya pia

kuwa washindi wa Bao 2-1 toka Mechi ya Kwanza ambayo Bao la ushindi lilifungwa na Straika wetu, Mbwana Samatta.

Hii Leo Samatta alifunga Bao lake Dakika ya 74 kwa Penati baada ya Zinedine Ferhat kumchezea Faulo Roger Assale ambae pia aliipa TP Mazembe Bao la Pili katika Dakika ya 90.

Bao lake la Leo Samatta limemfanya afikishe Bao 8 katika CAF CHAMPIONZ LIGI Msimu huu na kuibuka ndie Mfungaji Bora wa Michuano hii.
Mbali ya Samatta, Leo hii TP Mazembe pia walikuwa na Fowadi mwingine kutoka Tanzania ambae ni Thomas Ulimwengu alieng’ara katika pambano hili.

Baada ya kutwaa Taji hili, TP Mazembe wamezoa Donge la Dola Milioni 1.5 na pia wataiwakilisha Afrika kwenye Mashindano ya FIFA ya Klabu Bingwa Duniani huko Japan Mwezi Desemba.



Mpaka dakika 90 zinakatika hakuna bao!
Meneja mpya Remi Garde
Chini ya Meneja mpya Remi Garde kwenye Mechi yake ya kwanza tu, Aston Villa Leo wamegangamala na kutoka Sare ya 0-0 na Vinara wa Ligi Kuu England Manchester City.
Mechi hii iliyochezwa Villa Park, Nyumbani kwa Ason Villa, Timu hiyo ambayo iko mkiani mwa Ligi ilijipanga vizuri kwenye Difensi na mara kadhaa kuitishia City wakati wakifanya kaunta ataki.

Meneja mpya  Remi Garde wa Aston Villa nae kashuhudia sare hiyo iliyokuwa ya aina yake Villa Park!Mashabiki wakionesha mfano wa nyoka juu wakimaanisha juu ya mchezaji Fabian aliyehamia City na leo kuonekana Uwanjani dhidi ya Timu yake ya zamani Villa.Kipa wa City Joe akipangua mpira kwenye eneo la hatariNavas akipagawa baada ya kukosa nafasi ya wazi kufunga baoKompany akimiliki mpiraMeneja wa City akitoa maelekezo kwa wachezaji wake UwanjaniScott akimtoka KevinAyew na Kompany wakichuana vikaliKevin de B.
Soma Zaidi Hapa »


Marko Arnautovic akishangilia bao lake la pekee na ushindiMarko Arnautovic dakika ya 53 aliitangulizia bao Stoke City na kufanya bao kuwa 1-0  dhidi ya Chelsea.1-0Ramires akiachia shuti katika kipindi cha kwanza walichokimaliza 0-0VIKOSI:
Stoke City:
Butland, Johnson, Shawcross, Wollscheid, Pieters, Adam, Whelan, Shaqiri, Krkic, Arnautovic, Walters.

Akiba: Ireland, Wilson, Afellay, Diouf, Cameron, Crouch, Haugaard.
Chelsea: Begovic, Azpilicueta, Zouma, Terry, Baba, Ramires, Matic, Pedro, Willian, Hazard, Costa.
Akiba: Fabregas, Oscar, Mikel, Kenedy, Remy, Cahill, Amelia.
Refa: Anthony Taylor


Begovic langonikuokoa jahazi
Makocha wasaidizi Steve Holland (right), Rui Faria na Silvino Louro kwenye benchi wakiendesha Timu leo baada ya Kocha mkuu Jose kufungiwa mechi moja.Mashabiki Hazard kaanza..

waliotembelea blog