Saturday, August 29, 2015


Lionel Messi ametwaa Tuzo ya UEFA ya Mchezaji Bora wa Ulaya kwa Msimu wa 2014/15 baada ya kushinda Kura zilizopigwa na Wanahabari toka Nchi 54 Wanachama wa UEFA.
Messi, mwenye Miaka 28, ametwaa Tuzo hii kwa kuwabwaga mwenzake wa Barcelona Luis Suarez na Mchezaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo ambae ndie Mchezaji Bora Duniani.
Hii ni mara ya pili kwa Messi kutwaa Tuzo hii na mara ya kwanza ni Mwaka 2011 na safari hii ameibeba baada ya kuisaidia Klabu yake Barca kutwaa Trebo yaani Ubingwa wa La Liga, Copa del Rey na UEFA CHAMPIONS LIGI. Washindi waliopita wa Tuzo hii ni Lionel Messi (2011), Andrés Iniesta (2012), Franck Ribéry (2013) na Ronaldo (2014).Taswira leo hii huko MonacoSuarez

LIGI KUU ENGLAND

RATIBA:
Jumamosi Agosti 29

14:45 Newcastle v Arsenal
17:00 Aston Villa v Sunderland
17:00 Bournemouth v Leicester
17:00 Chelsea v Crystal Palace
17:00 Liverpool v West Ham
17:00 Man City v Watford
17:00 Stoke v West Brom
19:30 Tottenham v Everton

Jumapili Agosti 30
15:30 Southampton v Norwich
18:00 Swansea v Man United

LIGI KUU ENGLAND

RATIBA:
Jumamosi Agosti 29

14:45 Newcastle v Arsenal
17:00 Aston Villa v Sunderland
17:00 Bournemouth v Leicester
17:00 Chelsea v Crystal Palace
17:00 Liverpool v West Ham
17:00 Man City v Watford
17:00 Stoke v West Brom
19:30 Tottenham v Everton

Jumapili Agosti 30
15:30 Southampton v Norwich
18:00 Swansea v Man United

LIGI KUU ENGLAND

RATIBA:
Jumamosi Agosti 29

14:45 Newcastle v Arsenal
17:00 Aston Villa v Sunderland
17:00 Bournemouth v Leicester
17:00 Chelsea v Crystal Palace
17:00 Liverpool v West Ham
17:00 Man City v Watford
17:00 Stoke v West Brom
19:30 Tottenham v Everton

Jumapili Agosti 30
15:30 Southampton v Norwich
18:00 Swansea v Man United
Kupitia kwa mkurugenzi wa michezo wa klabu ya Wolfsburg ya Ujerumani Klaus Allofs amethibitisha kwa mshambuliaji wa zamani wa Chelsea kurudi katika Ligi Kuu Uingereza. Klaus Allofs amethibitisha kuwa klabu ya Wolfsburg imeridhia kumuachia Kevin De Bruyne ajiunge na klabu ya Manchester City.
De-Bruyne-main
De Bruyne akipiga picha na mashabiki wakati akiwa njiani kuelekea Manchester usiku wa August 28
Kevin De Bruyne atakuwa anarejea katika Ligi Kuu Uingereza ikiwa ni miezi 18 imepita toka aondoke katika Ligi hiyo akitokea klabu ya Chelsea na kujiunga na klabu ya Wolfsburg.
Supporters-take-pictures-together-with-Wolfsburgs-Kevin-De-Bruyne-during-the-Bundesliga-first-division-soccer-match
“Tutamaliza kila kitu aidha usiku huu au kesho De Bruyne yupo njiani kujiunga na Manchester City nilizungumza katika Press siku ya jumanne kuwa bado tulikuwa tunaendelea na mazungumzo,mazungumzo yalikuwa yakiendelea hadi sasa imebakia sehemu ndogo sana kumalizana”>>> Klaus Allofs
Kevin-de-Bruyne-of-Wolfburg-is-seen-with-fans-during-the-Bundesliga-match-between-VfL-Wolfsburg-and-FC-Schalke-04
Kevin De Bruyne alianza kucheza soka professional akiwa katika klabu ya Genk mwaka 2008. Alisajiliwa na klabu ya Chelsea January mwaka 2012 kabla ya kurudishwa kwa mkopo katika klabu yake ya Genk, baada ya hapo aliendelea kucheza kwa mkopo katika klabu ya Werder Bremen ambapo aliichezea mechi 33 za Bundesliga na kufunga magoli 10.
CS53356958Sunderlands-Itali
Mshambuliaji huyo anarudi Uingereza kwani hadi anaondoka Chelsea katika msimu wa 2013-2014 alicheza mechi tatu pekee na kuuzwa katika klabu ya Wolfsburg kwa ada ya pound milioni 18 mwezi January 2014. Inaripotiwa kuwa ndani ya masaa 24 au 48 De Bruyne atakuwa amejiunga na klabu ya Man City kwa ada ya uhamisho ya pound milioni 54.

waliotembelea blog