Saturday, March 21, 2015


Wilfried Bony dakika 27 aliipatia bao la kwanza City na kufanya 1-0 baada ya kulishwa mpira na Fernando. Dakika ya 40 Fernando aliwapatia bao la pili City na kufanya bao kuwa 2-0 dhidi ya West Brom Albion. 
Dakika ya 77 David Silva anaipatia bao la 3 City na kufanya bao kuwa 3-0.Kadi nyekundu kwa Gareth McAuley imewafanya wacheze pungufu West Brom Alibion katika kipindi cha kwanza dakika ya 2 ikiwa ni baada ya kuangushwa chini mchezaji mpya wa City Wilfried Bony.VIKOSI:
Manchester City XI:
Zabaleta, Kompany, Mangala, Clichy, Navas, Fernando, Lampard, Silva, Bony, Aguero
West Brom XI: Myhill, Dawson, McAuley, Olsson, Lescott, Baird, Morrison, Gardner, Fletcher, Sessegnon, Berahino.
 
0 comments


Sturridge, Lallana, Johnson, Steven Gerrard, Rickie Lambert wote furaha wakti wa Mazoezi kujiandaa na Mtanange wao kwao dhidi ya Man United.
Timu zote zinatinga kwenye Mechi hii zikiwa kwenye fomu nzuri kwa Liverpool kushinda Mechi 5 mfululizo za Ligi Kuu England na Man United kushinda Mechi 3 mfululizo zilizopita.
Baada ya Liveroool kuchapwa 3-0 Uwanjani Old Trafford hapo Desemba 14 na Man United na kuachwa Nafasi ya 10 kwenye Ligi, Liverpool, chini ya Meneja Brendan Rodgers, hawajapoteza Mechi yeyote ya Ligi na sasa wapo Nafasi ya 5 wakiwa Pointi 2 nyuma ya Man United walio Nafasi ya 4.
Mshikamano..Wachezaji wa Liverpool wakifurahiaLucas Leiva na Kolo Toure kwenye mazoezi leo hiiKocha wa Liverpool akifurahia jambo wakati wa Mazoezi..
Wakati Brendan Rodgers akipooza umuhimu wa Mechi hii ya Anfield na kudai bado zipo Mechi nyingi muhimu, Meneja wa Man United Louis van Gaal ametoa msisitizo kwa Wachezaji wake kudhibiti jazba hasa baada ya Timu yake kuathirika na Kadi Nyekundu dhidi ya Timu kubwa na hilo kumfanya awe Refa kwenye Mechi za Mazoezi ili kuwaonya Wachezaji wake.
Alipohojiwa kwa nini Kepteni wake Wayne Rooney huwa hafungi Anfield ambako mara ya mwisho kupiga Bao ni karibu Miaka 10 iliyopita, Van Gaal alisema ni kawaida kwa Mchezaji yeyote lakini anaamini hilo halitamwathiri Rooney kucheza vyema.
DejanAaaahLazar na JavierKolo Toure

waliotembelea blog