Wasanii
wa kikundi cha Original Komedi kikiwapa burudani wakazi wa mkoa wa
Kagera leo waliofurika kwenye uwanja wa Kaitaba Bukoba Mjini kushuhudia
Tamasha la Tigo welcome pack, Kampuni ya Tigo imeanzisha kifurushi cha
welcome pack kitakachomwezesha mtumiaji wa Tigo kupata muda wa maongezi
wa dakika 20, MB175, SMS bila kikomo na pesa shilingi mia 500 kwenye
akaunti yake ya Tigopesa, yote hayo kwa shilingi 1000 mteja atakaponunua
laini yake ya Tigo. Picha na Faustine Ruta wa Bukobasports.comJoti akifanya yake jukwaani!Niseme ni si seme??Wasanii
wa Original Comedy wakiwapa buradani wananchi waliohudhuria Tamasha
hilo katika uwanja wa Kaitaba Bukoba Mjini leo Jumapili Novemba 9,
2014. Picha na Faustine Ruta wa Bukobasports.comWasanii wa Original Comedy wakiendelea kutoa Burudani jukwaani Msanii
wa Original Comedy Joti akipandwa na jazba jukwaani wakati wanatoa
Burudani kwenye Uwanja wa Kaitaba leo Jumapili Jioni wakati wa Tamasha
la Tigo.Walianza
Visa hapo Jukwaani baada ya kuachia Burudani ya Kutoka kwa Wimbo wa
Yamoto Band wimbo wao wa Niseme" na hapo mambo yakaendelea kushika kasi
jukwaani. Picha na Faustine Ruta wa Bukobasports.comBaadae
baada ya Muziki huo kumalizika Kundi hilo likaendelea kushusha Burudani
ya Ukweli mbele ya Umati wa Wakaazi waliopata nafasi ya Kuhudhuria
Tamasha hilo katika uwanja wa Kaitaba Bukoba Mjini leo Jumapili Novemba
9, 2014. Wateja walipata fursa ya kupata huduma mbalimbali kutoka
kwenye vibanda vya Tigo vilivyopatikana Uwanjani hapo.Baadhi ya Wasanii wa kikundi cha Original Komedi wakishambulia jukwaa!Wasanii wa kikundi cha Original Komedi wakitoa Burudani jukwaani leo.Sehemu
ya Umati mkubwa uliofurika kwenye Tamasha hilo la Tigo Welcome Pack
kwenye Uwanja wa Kaitaba Bukoba Mjini leo jumapili jioni.WAKUVANGA (Mama BERE au Baba Andunje) kwa furaha jukwaani wakati akitoa burudani.Seki
akisalimiana na Umati huo uliofurika kwenye Tamasha hilo la Tigo
Welcome Pack kwenye Uwanja wa Kaitaba. Tamasha la kampeni ya kifurushi
kipya cha Tigo cha welcome pack. Kampuni ya Tigo imeanzisha kifurushi
cha welcome pack kitakachomwezesha mtumiaji wa Tigo kupata muda wa
maongezi wa dakika 20, MB175,SMS bila kikomo na pesa shilingi mia 500
kwenye akaunti yake ya Tigopesa, yote hayo kwa shilingi 1000 mteja
atakaponunua laini yake ya Tigo. Picha na Faustine Ruta wa
Bukobasports.comMsanii
wamuziki wa kizazi kipya Bongofleva Linex alipanda jukwaani kuachia
kile alichowaandalia Wananchi wa Bukoba kwenye Tamasha hilo ta Tigo
Welcome Pack.Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongofleva Linex akiimba jukwaani!.Msanii
wa muziki wa kizazi kipya Bongofleva Linex akiimba mbele ya umati
mkubwa wa wakazi wa mji wa Bukoba waliojitokeza kwa wingi leo Jumapili
kwenye Tamasha la Tigo lililofanyika kwenye Uwanja wa kaitaba.Msanii Emmanuel Mgaya, Maarufu Masanja Mkandamizaji akiwapa Raha wakazi wa Mkoa wa kagera leo wakati wa Tamasha la Tigo.Kitendo cha Masanja kusimama jukwaani ilikuwa ni furaha tosha kwa Wakaazi wa Mkoa wwa Kagera...full shangwe!! Wadau wote mikono juu!!! Masanja Kakamata kinoma! Waandishi wa habari wakasahau kazi yao! Meno 32 yote nje!Full shangwe kaitaba wakati wa Tamasha la Tigo!Baadae kukawa kimya kidogo kisha Wazee wazima wa The Comedy wakaingia...Wasanii
wa kikundi cha Original Comedy kikitoa burudani kemkem kwa Wakazi wa
Mkoa wa Kagera waliofurika kwenye uwanja wa Kaitaba kushuhudia tamasha
la Tigo welcome pack, Kampuni ya Tigo imeanzisha kifurushi cha welcome
pack kitakachomwezesha mtumiaji wa Tigo kupata muda wa maongezi wa
dakika 20, MB175, SMS bila kikomo na pesa shilingi mia 500 kwenye
akaunti yake ya Tigopesa, yote hayo kwa shilingi 1000 mteja atakaponunua
laini yake ya Tigo. Picha na Faustine Ruta wa Bukobasports.comJoti(Andunje) na Kipara Macregan wakifunika!Utamwambia nini MACREGAN KIPARA (Shemeejiii) ndami ya Uzi!Kipara Magregan na Joti wakiwajibika Jukwaani leo wakati wa Tamasha la Tigo.Andunje "Joti" mambo yalimpanda akaamua kuparamia stejiHatari tupu!!Nini tena?Vua hilo vazi!! Wewe ni Askari?? Andunje tuu!!Joti alichojoa zote bila aibu!! Vazi likabaki na heshima yake!Chezea Kipara wewe!! Macregan kazini!!Mpoki
(Bepari La Kihaya - Mwarabu wa Dubai, Nyani mweusi nae) alipata nafasi
ya kusalimia Watu wake wa Bukoba na kuwapa Burudani Murua Vijana wa
Nyumbani Bukoba.Sehemu
ya Umati wa Watu wakimsikiliza kwa makini na wengi furaha kutojificha
kwenye Tamasha la kampeni ya kifurushi kipya cha Tigo cha welcome pack.
Kampuni ya Tigo imeanzisha kifurushi cha welcome pack kitakachomwezesha
mtumiaji wa Tigo kupata muda wa maongezi wa dakika 20, MB175,SMS bila
kikomo na pesa shilingi mia 500 kwenye akaunti yake ya Tigopesa, yote
hayo kwa shilingi 1000 mteja atakaponunua laini yake ya Tigo.Nyomizzz!Wanajuana!!
Masanja Mkandamizaji na Bepari la Kihaya Mpoki wakionesha ubabe wao
jukwaani wakati wa Tamasha la kampeni ya kifurushi kipya cha Tigo cha
welcome pack. Picha na Faustine Ruta wa Bukobasports.comMpoki(kulia) akitamba!!Nani zaidi??Mwana-FA
akiimba mbele ya umati wa wakazi wa Bukoba leo kwenye Tamasha la Tigo
lililofanyika leo Jumapili jioni kwenye Uwanja wa Kaitaba.Kiingilio ilikuwa ni wewe kuvaa uhusika wa Tigo!!Mwana-FA