Monday, July 14, 2014

Profesa Anna Tibaijuka Waziri wa Nyumba Ardhi na maendeleo ya Makazi (katikati) Ambaye ndiye alikuwa Mgeni Rasmi katika Tamasha Hilo Kubwa la "SOTE NI NDUGU" lililoandaliwa na Kundi la Kapotive Star Singers-Bukoba leo Katika Ukumbi wa Lina's Club uliopo  Bukoba mjini.
Tamasha hilo pia limeudhuriwa na Wageni wa Kikundi hicho Cha kapotive kutoka Austria.
Kwaya rafiki yenye waimbaji 29 kutoka ulaya inayoitwa Vokalensemble Vocapella Innsbruck (Innsbruck – Austria), lakini pia na kwaya za hapa Jimboni Bukoba zilishiriki Tamasha hilo.

Ilikuwa fursa ya kipekee kufanya tathmini ya yale ambayo wameyafanikisha kulingana na malengo yeo ya msingi, na pia yale ya miaka mitano, pia changamoto ambazo wamepitia na pia kuangalia mipango yao ya muda mfupi, na ile ya muda mrefu.
Album yetu, Vol: 8, MWILI MMOJA ilizinduliwa pia ikiwa na nyimbo za Ndoa tu. 
Mwimbaji Teddy akikabidhi risala kwa Mgeni rasmi Profesa Anna Tibaijuka Waziri wa Nyumba Ardhi na maendeleo ya Makazi.Mkuu wa wilaya bukoba Bi,Zipora Pangani(kulia) ambaye pia alimwakilisha Mkuu wa mkoa wa KAGERA, Kanali mstaafu FABIAN MASSAWE katika Tamasha hilo lililofana leo katika Ukumbi wa Lina's Club Bukoba.Profesa Anna Tibaijuka Waziri wa Nyumba Ardhi na maendeleo ya Makazi(Mgani Rasmi katika Tamasha hilo) na kulia ni ASKOFU Msaidizi wa Jimbo Cathoric la Bukoba Methodius Kilaini (kulia) ambaye ndie Mlezi wa kikundi cha hiki Cha Kapotive Star Singers wakiendelea kuburudika kwa NyimboDada kutoka kundi la  Vokalensemble Vocapella Innsbruck (Innsbruck – Austria) akipozi na Mtoto Dada Geogia(kulia) akiburudika na rafiki yake kwenye Tamasha hilo Kapotive Star Singers wanapendwa kila lika!Taswira...kwa kuwa kiingilio kilikuwa tofauti tofauti Watu wengi wemejitokeza kwa Wingi katika Tamasha hilo lililofamyika leo kwenye Ukumbi wa Lina's Club.Mr. Andrew Kagya na Willy Kiroyera wakifurahia Tamasha la "Sote ni Ndugu"Wakiteta jambo!Nyimbo Mpyaa zinazopatika kwenye Album toleo jipya Vol.8 ziliimbwa, Album hiyo ikibeba jina la "Mwili Mmoja" na Hapa Baadhi ya Waimbaji wa Kapotive waliingia Ukumbini wakiwa Wamevalia Mavazi ya Harusi kwendana na Nyimbo hizo zinazopatikana katika Album hiyo iliyozinduliwa leo na kupendwa na wengi.Masister hawakuwa nyuma walijumuika katika Tamasha hiloTaswira Waimbaji kutoka Nje ya Nchi, Wakitokea Australia - Kwaya rafiki yenye waimbaji 29 kutoka ulaya inayoitwa Vokalensemble Vocapella Innsbruck (Innsbruck – Austria)

Chini ya Udhamini mkubwa Instant Coffee-Tanica- Bukoba Tanzania.
Mbali na faida kemkem tunazozijua zinazopatikana kwenye kahawa, utafiti mpya umesema kwamba kunywa kikombe kimoja tu cha kahawa kwa siku kunapunguza hatari ya kupatwa na mshituko wa moyo.
Kilimanjaro CafeTanica Cafe' kwenye ujazo tofauti tofauti katika aina mbili Tanica Cafe' na Kilimanjaro Cafe'Kundi la Waimbaji 29 kutoka Ulaya Vokalensemble Vocapella Innsbruck likitumbuizaVokalensemble Vocapella Innsbruck wakiendelea kuburudishaBurudani ikakolea...Mratibu wa Kundi la Kapotive Star Singers bw. Andrew Kagya (kushoto) akipeana mkono na Bw. Willy Rutta wa Kampuni ya Utalii Nchini ya Kiroyera Tours) leo kwenye Tamasha la Sote ni Ndugu" wakifurahia Miaka minne ya kuwepo kwa kundhi hilo la Kapotive Star Singers Bukoba.Teddy Rweyendela na Claudius Mutabuzi wakifanya yao mbele ya Mashabiki.Teddy Rweyendela(kuli) Pamoja na Claudius Mutabuzi wakiimba moja ya wimbo kwenye Album mpya ya Vol:8"MWILI MMOJA"



Taswira ya Keki yenyewe ya Miaka minne ya tangu kuundwa kwa Kundi hilo ikiwa katika mfano wa Ngoma, Drum"Keki tayari kwa kuliwa..Waimbaji wa Kikundi cha Kapotive Star Singers Bukoba wakiwajibika jukwaani leo wakati wa Tamasha la Sote ni Ndugu leo kwenye ukumbi wa Lina's Club uliopo Bukoba Mjini.Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Ebby Sarah nae alikuwepo na hapa alikuwa akichezaMwimbaji Ebby Sarah (kushoto) akiburudika kisawasawaMwenye macho aambiwi tazama!!

waliotembelea blog