Monday, July 14, 2014

Ujerumani Mabingwa kombe la Dunia 2014Mario Gotze(kushoto) akishangilia bao lake la Ushindi dhidi ya ArgentinaGermany's forward Mario Goetze (L) shoots and scores past Argentina's goalkeeper Sergio Romero during the 2014 FIFA World Cup final football match between Germany and Argentina at the MaracanaKipa Romero hakuna ndani dhidi ya Mario Gotze Mario Gotze akifunga bao kwenye dakika 120 baada ya kutoshana nguvu kwenye dakika 90.

Kwenye Dakika 120 dakika ya 113 Mario Götze aliwafungia bao Ujerumani na kufanya 1-0 dhidi ya ArgentinaMessi kwenye Mshangao!!!Mtanange ulimalizika 0-0 katika dakika za kawaida 90 na kwenda 120Lionel Messi akidhibitiwa!Ozil (kulia) wa Germany kwenye mbio kuutafuta mpiraPatashika zikiendelea kipindi cha kwanza..

Mchezaji wa Argentina  Gonzalo Higuain alishafunga bao hapa laikini lilikuwa la kuotea kwa kumfunga kipa wa Germany Manuel Neuer

 Higuain na  Marcos Rojo wakishangilia....bila kujua nyuma yao kuna nini!!

 Thomas Mueller akichuana na  Marcos Rojo pamoja na  Ezequiel Garay

 Gonzalo Higuain akiwekwa kati na  Christoph Kramer pamoja na Jerome Boateng

Benedikt Hoewedes akioneshwa kadi ya njano na Mwamuzi  Nicola Rizzoli
VIKOSI:
Germany: Neuer, Lahm, Boateng, Hummels, Howedes, Kramer, Schweinsteiger, Muller, Kroos, Ozil, Klose.
Subs: Zieler, Grosskreutz, Ginter, Schurrle, Podolski, Draxler, Durm, Mertesacker, Gotze, Weidenfeller.

Argentina: Romero, Zabaleta, Demichelis, Garay, Rojo, Biglia, Mascherano, Perez, Higuain, Messi, Lavezzi.
Subs: Orion, Campagnaro, Gago, Di Maria, Rodriguez, Augusto Fernandez, Federico Fernandez, Palacio, Alvarez, Aguero, Basanta, Andujar.
Referee: Nicola Rizzoli (Italy)




Mashabiki wa Germany

Mashabiki wa Argentina

David Beckham na wanae watatu  Brooklyn, Cruz na Romeo wakiwa wamevalia uzi wa Argentina

David Beckham

Kaka na Pele pamoja na Beckham kwenye picha kabla ya mtanange

 Pele na David Beckham

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog