Dakika ya 40 Yaya Toure akaongeza bao la
tatu na kufanya 3-0 dhidi ya West Ham. Manchester City walienda
mapumziko wakiwa wanaongoza bao 3-0.
Kipindi cha pili dakika ya 49 Álvaro Negredo akafunga bao lake la tatu na kufanya Man City kufikisha bao 4-0. Bao la tano lilifungwa na Dzeko dakika ya 60 kwa kuusindikiza mpira ndani ya lango la
West Ham. Dakika za lala salama ya 89 Dzeko akatupia bao la 6 na kuwamaliza zaidi nguvu West Ham United na mpira kumalizika.

Ushindi huu wa City ni kama tayari wamekwisha chungulia hatua inayofuata maana hata marudiano yao na West Ham kwao hapo januari 21West Ham kubadilisha matokeo ni ndoto au miujiza!!
Balaa! Mwamuzi Jonathan Moss alianguka kipindi cha kwanza Etihad.........
CAPITAL ONE CUP
NUSU FAINALI:RATIBA/MATOKEO:
[Saa 4 Dakika 45 Usiku]
Jumanne Januari 7
Sunderland 2 v Manchester United 1
Jumatano Januari 8
Manchester City 6 v West Ham United 0
Marudiano
Jumanne Januari 21
West Ham United v Manchester City
Jumatano Januari 22
Manchester United v Sunderland
CAPITAL ONE CUP
NUSU FAINALI:RATIBA/MATOKEO:
[Saa 4 Dakika 45 Usiku]
Jumanne Januari 7
Sunderland 2 v Manchester United 1
Jumatano Januari 8
Manchester City 6 v West Ham United 0
Marudiano
Jumanne Januari 21
West Ham United v Manchester City
Jumatano Januari 22
Manchester United v Sunderland