Monday, March 30, 2015

 Mwenyekiti wa Chama cha  Alliance for change and Transparecy (ACT)  Anaa
Elisha    Akiwashukuru wanachama wote walioshiriki walio kiunga Mkono chama hicho nawaliotoka vyama vingine wakiwemo viongozi na Taasisi Mbalimbali.

Kiongizi MKuu wa chama  hicho na akiliyekua Mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zitto Kabwe. akizungumza na wanachama Mbalimbali toka Nje na Ndani ya Dar es Salaa  katika uzinduzi wa chama hicho na kuwaomba wanachama popote walipo waipigie  Kura ya Hapana  Katiba Pendekezwa.
Kikundi cha Ngoma ya Asili ya Kutoka Kigoma kwa jina maarufu kwa Mkoa huo wa kigoma inaitwa Usambere ikitoa burudani katika uzinduzi huo
Wanachama wa chama hicho kwa makundi mbalimbali wakiingia katika ukumbi kwa nyakati tofauti
Wafuasi wa Chama hicho wakiwa na mabango wakiingia Ukumbini
Wafuasi wa Chama hicho wakiwa na mabango yenye Ujumbe tofauti wakiingia Ukumbini
Wafuasi wa Chama hicho wakiwa na mabango yenye Ujumbe tofauti wakiingia Ukumbini
Wanakikundi wa kasimbo Asili, toka Mkoa wa Kigoma Kijiji cha Nyarubanda Kataa ya Mkigo Wilaya ya Kigoma wakitoa salam ya Chama hicho wakiwa wanajiandaa kuingia kwa Nyimbo za Ali ya Mkoa wao katika Mkutano wa Uzinduzi wa Mkutano wa  Alliance for change and Transparecy (ACT)
Baadhi ya Wafuasi wa Chama hicho wakiingia Ukumbini
Msanii Afande Sele akiwa na wanachama wa Alliance for change and Transparecy (ACT) katika Picha ya pamoja kwenye Uzinduzi wa Chama hicho
Baadhi ya wajumbe na Viongozi wa Chama hicho wakimsikiliza Zitto Kabwe alipo kua akizindua Mkutano wa Chama hicho(wa tatu kushoto) ni Baba wa  Kiongizi MKuu wa chama  hicho na akiliyekua Mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zitto Kabwe.,
Msanii  wa Makomando Said Christopher akisalimia Viongozi alipopanda juukwaani na mwenzake
 Mwenyekiti wa Chama cha  Alliance for change and Transparecy (ACT)  Anaa
Elisha akisalimiana na Kiongizi MKuu wa chama  hicho na akiliyekua Mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zitto Kabwe mara alipo maliza kuzungumza na wafuasi wa chama hicho.
 Mwenyekiti wa Chama cha  Alliance for change and Transparecy (ACT)  Anaa Elisha akisalimiana na Askofu Mstaafu wa Jimbo la Kigoma Angilikana Gerald Mpango  baada ya kuzungumza na Wanachama
Afande Sele akiwa Jukwaani akitumbuiza
Wasanii wa Kikundi cha Makomando wakitoa Burudani, kulia ni fred felix na Said Christopher.
Wafuasi wa chama hicho wakijiandikisha na kupatakadi ya Uanacha
Wanachama
Mamia wajitokeza Uzinduzi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Zitto Kabwe akisoma Fomu ya Chama hicho inayomtaka kila mwanacha Ngazi ya juu atangaze Mali zake
Kasimbo Asilia ikitoa Burudani katika Mkutano wa chama cha Alliance for change and Transparecy (ACT)  katika
Ukumbi wa Diamondi Jubilee Dar es Sallam leo mara baada ya chama hicho kufanya Uzinduzi 
Vikundi mbalimbali Vikitoa maigizo katika Uzinduzi wa Chama hicho.
Wanachama wakijipanga wakati Viongozi wa Chama hicho Kitaifa wakitarajia kuingia katika Ukumbi wa  Diamondi Jubilee
Wanachama wakijipanga mikono wakati Viongozi wa Chama hicho Kitaifa wakitarajia kuingia katika Ukumbi wa  Diamondi Jubilee na baadhi ya wanachama wakipunga mikono kwa kuonyesha alama ya chama chao
 (kulia) akiwapungia mikono wanachama alipokua akiingia katika Ukumbi wa Diamondi Jubilee Dar es Sallam leo (kushoto) ni  Kiongizi MKuu wa chama  hicho na akiliyekua Mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zitto Kabwe.
Ulipoimbwa wimbo wa Mungu Ibariki.
Wanachama wakiimba Wimbo wa Taifa
.Katibu Mkuu ACT Tanzania Samson Mwigamba akizungumza na wanachama alipokua akifafanua jambo.


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe na Mbunge wa Viti Maalum, Al Shaymar Kweigyr wakiongoza matembezi ya hamasa ya kupiga vita mauaji ya albino nchini yaliyofanyika leo jijini Dar es salaam kuanzia viwanja vya Biafra mpaka Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es salaam.
Matembezi yakiendelea.
 
Wadau kutoka sekta mbali mbali wakishiriki kwenye Matembezi ya hamasa ya kupiga vita mauaji ya albino nchini yaliyofanyika leo jijini Dar es salaam kuanzia viwanja vya Biafra mpaka Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es salaam.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, Mbunge wa Viti Maalum, Al Shaymar Kweigyr, Balozi wa Harakati ya Imetosha, Henry Mdimu, Mwakilishi wa Chama cha Albino Tanzania (TAS), Abdillah Omar sambamaba na wadau wengine wakishiriki kuimba wimbo ‘Tanzania Tanzania’ kabla ya kuanza kwa shughuli nzima ya hamasa ya kupiga vita mauaji ya albino nchini, iliyofanyika leo kwenye viwanja vya Leaders Club, jijini Dar es salaam.
 
 
Mbunge wa Viti Maalum, Al Shaymar Kweigyr akicheza muziki wa sambamba na Mwanamuziki wa Reggae,Jhiko Manyika “Jhikoman” wakati wa shughuli nzima ya hamasa ya kupiga vita mauaji ya albino nchini, iliyofanyika leo kwenye viwanja vya Leaders Club, jijini Dar es salaam.Kulia ni Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network ambao ni wadau wakubwa wa harakati ya Imetosha, Joachim Mushi.
Mwanamuziki wa Reggae,Jhiko Manyika “Jhikoman” (katikati) akizungumza machache ikiwa ni sehemu ya hamasa ya kupiga vita mauaji ya albino nchini, iliyofanyika leo kwenye viwanja vya Leaders Club, jijini Dar es salaam.Kushoto kwake ni Mbunge wa Viti Maalum, Al Shaymar Kweigyr na kulia kwake ni Balozi wa Harakati ya Imetosha, Henry Mdimu pamoja na Mwakilishi wa Chama cha Albino Tanzania (TAS), Abdillah Omar.Kulia ni Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network ambao ni wadau wakubwa wa harakati ya Imetosha, Joachim Mushi.
“Selfie” Sehemu ya wajumbe wa Kamati ya Imetosha wakiwapa picha ya pamoja.
Mdau Rama na Dada Salma.
Mdau Mkala Fundikira akitafuta taswira.
MC Mzee Mdachi akiwajibika leo.
Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network ambao ni wadau wakubwa wa harakati ya Imetosha, Joachim Mushi akizungumza machache kwa niaba ya Wanablog wote Tanzania.
Mgeni Rasmi,Mh. Mathias Chikawe akiwa kwenye shughuli hiyo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Matembezi ya Hamasa ya kupiga vita mauaji ya albino nchini (Imetosha), Ally Masoud “Kipanya” akiwa na Mmoja wajumbe wa Kamati yake,Monica Joseph.
Wadau.
Dada Victoria.
 
Doris Molel wa Doris Molel Foundation akifatilia hotuba ya Mgeni Rasmi.
Mgeni Rasmi.
Mwakilishi wa Chama cha Albino Tanzania (TAS), Abdillah Omar.
Dada Neema wa Kamati ya Imetosha.
Wadau wa Kamati ya Imetosha.
Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF),Simon Mwakifwamba akizungumza machache.

Balozi wa Harakati ya Imetosha, Henry Mdimu akiwa na rafiki yake wa kitambo na Msanii wa Kuigiza,Isaya Mwakilasa “Wakuvanga” pamoja na mwanae.
 
 
 
Doris Molel na rafiki yake ambao kwa pamoja wameanzisha Doris Molel Foundation maalum kwa kusaidia watoto wanaozaliwa kabla ya muda (Njiti) wakizungumza kwenye shughuli ya hamasa ya kupiga vita mauaji ya albino nchini, iliyofanyika leo kwenye viwanja vya Leaders Club, jijini Dar es salaam.
Wajumbe wa Kamati ya Imetosha, Kelvina John (kulia) na Neema Lissa 
Mkongwe katika yasnia ya Muziki nchini,John Kitime akiimba wimbo maalum wa hamasa ya kupiga vita mauaji ya albino nchini, iliyofanyika leo kwenye viwanja vya Leaders Club, jijini Dar es salaam.
Mwanamuziki Vital Maembe akiimba wimbo maalum wa hamasa ya kupiga vita mauaji ya albino nchini, iliyofanyika leo kwenye viwanja vya Leaders Club, jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Matembezi ya Hamasa ya kupiga vita mauaji ya albino nchini (Imetosha), Ally Masoud “Kipanya” akizungumza kabla ya kumkaribisha Balozi wa Harakati ya Imetosha, Henry Mdimu ili kuzungumza na Watanzania waliofika kwenye Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es salaam leo.
Wawakamati wa Imetosha na Balozi wa Imetosha.
Mwanahabari akirekodi tukio zima la Imetosha.
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Matembezi ya Hamasa ya kupiga vita mauaji ya albino nchini (Imetosha), Ally Masoud “Kipanya” akimkaribisha Balozi wa Harakati ya Imetosha, Henry Mdimu ili kuzungumza na Watanzania waliofika kwenye Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es salaam leo.
Msanii Cassim Mganga na Fundikira.
Wadau.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh. Mathias Chikawe akitoa hotuba yake na kauli ya Serikali katika harakati ya kupambana na kupiga vita mauaji ya albino nchini, iliyofanyika leo kwenye viwanja vya Leaders Club, jijini Dar es salaam leo.
 Wadau wakiburudika.
 
 

waliotembelea blog