Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for change and Transparecy (ACT) Anaa
Elisha Akiwashukuru wanachama wote walioshiriki walio kiunga Mkono chama hicho nawaliotoka vyama vingine wakiwemo viongozi na Taasisi Mbalimbali.
Elisha Akiwashukuru wanachama wote walioshiriki walio kiunga Mkono chama hicho nawaliotoka vyama vingine wakiwemo viongozi na Taasisi Mbalimbali.
Kiongizi MKuu wa chama hicho na akiliyekua Mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zitto Kabwe. akizungumza na wanachama Mbalimbali toka Nje na Ndani ya Dar es Salaa katika uzinduzi wa chama hicho na kuwaomba wanachama popote walipo waipigie Kura ya Hapana Katiba Pendekezwa.
Kikundi
cha Ngoma ya Asili ya Kutoka Kigoma kwa jina maarufu kwa Mkoa huo wa
kigoma inaitwa Usambere ikitoa burudani katika uzinduzi huo
Wanachama wa chama hicho kwa makundi mbalimbali wakiingia katika ukumbi kwa nyakati tofauti
Wafuasi wa Chama hicho wakiwa na mabango wakiingia Ukumbini
Wafuasi wa Chama hicho wakiwa na mabango yenye Ujumbe tofauti wakiingia Ukumbini
Wafuasi wa Chama hicho wakiwa na mabango yenye Ujumbe tofauti wakiingia Ukumbini
Wanakikundi
wa kasimbo Asili, toka Mkoa wa Kigoma Kijiji cha Nyarubanda Kataa ya
Mkigo Wilaya ya Kigoma wakitoa salam ya Chama hicho wakiwa wanajiandaa
kuingia kwa Nyimbo za Ali ya Mkoa wao katika Mkutano wa Uzinduzi wa
Mkutano wa Alliance for change and Transparecy (ACT)
Baadhi ya Wafuasi wa Chama hicho wakiingia Ukumbini
Msanii
Afande Sele akiwa na wanachama wa Alliance for change and Transparecy
(ACT) katika Picha ya pamoja kwenye Uzinduzi wa Chama hicho
Baadhi ya
wajumbe na Viongozi wa Chama hicho wakimsikiliza Zitto Kabwe alipo kua
akizindua Mkutano wa Chama hicho(wa tatu kushoto) ni Baba wa Kiongizi
MKuu wa chama hicho na akiliyekua Mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zitto Kabwe.,
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zitto Kabwe.,
Msanii wa Makomando Said Christopher akisalimia Viongozi alipopanda juukwaani na mwenzake
Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for change and Transparecy (ACT) Anaa
Elisha akisalimiana na Kiongizi MKuu wa chama hicho na akiliyekua Mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zitto Kabwe mara alipo maliza kuzungumza na wafuasi wa chama hicho.

Mwenyekiti
wa Chama cha Alliance for change and Transparecy (ACT) Anaa Elisha
akisalimiana na Askofu Mstaafu wa Jimbo la Kigoma Angilikana Gerald
Mpango baada ya kuzungumza na Wanachama
Afande Sele akiwa Jukwaani akitumbuiza
Wasanii wa Kikundi cha Makomando wakitoa Burudani, kulia ni fred felix na Said Christopher.
Wafuasi wa chama hicho wakijiandikisha na kupatakadi ya Uanacha
Wanachama
Mamia wajitokeza Uzinduzi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Zitto Kabwe akisoma Fomu ya Chama hicho inayomtaka kila mwanacha Ngazi ya juu atangaze Mali zake
Kasimbo Asilia ikitoa Burudani katika Mkutano wa chama cha Alliance for change and Transparecy (ACT) katika
Ukumbi wa Diamondi Jubilee Dar es Sallam leo mara baada ya chama hicho kufanya Uzinduzi
Ukumbi wa Diamondi Jubilee Dar es Sallam leo mara baada ya chama hicho kufanya Uzinduzi
Vikundi mbalimbali Vikitoa maigizo katika Uzinduzi wa Chama hicho.
Wanachama wakijipanga wakati Viongozi wa Chama hicho Kitaifa wakitarajia kuingia katika Ukumbi wa Diamondi Jubilee
Wanachama
wakijipanga mikono wakati Viongozi wa Chama hicho Kitaifa wakitarajia
kuingia katika Ukumbi wa Diamondi Jubilee na baadhi ya wanachama
wakipunga mikono kwa kuonyesha alama ya chama chao
(kulia)
akiwapungia mikono wanachama alipokua akiingia katika Ukumbi wa Diamondi
Jubilee Dar es Sallam leo (kushoto) ni Kiongizi MKuu wa chama hicho
na akiliyekua Mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zitto Kabwe.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zitto Kabwe.
Ulipoimbwa wimbo wa Mungu Ibariki.
Wanachama wakiimba Wimbo wa Taifa
.Katibu Mkuu ACT Tanzania Samson Mwigamba akizungumza na wanachama alipokua akifafanua jambo.
0 maoni:
Post a Comment