Wednesday, July 15, 2015

WACHEZAJI WA MANCHESTER UNITED WAKIWA MAZOEZINI MAREKANI

Wachezaji wa Man United  wakiwa mazoezini na hapa wakimsikiliza kwanza Meneja Van GaalKipa David de Gea nae ndani kwenye zoezi
Antonio na Ander Herrera wakinyonga!
DepayDepay na Bastian Mazoezini tayari kwa mitanange ya kujiandaa na msimu mpya 205/2016
No.1
Wayne Rooney na Michael Carrick kwenye zoezi

Bastian Schweinsteiger


Chuba Akpom(kushoto) akishangilia Hat-trick yake leo hii mbele ya Wasingapore.Mashabiki wa Arsenal 4-0
1-0 kipindi cha kwanza Dakika ya 30 Chuba Akpom anaifungia bao la kwanza Gunners, Bao la pili lilifungwa kwa mkwaju wa penati na Jack Wilshere kipindi cha pili dakika ya 60 na kufanya 2-0 dhidi ya wenyeji Singapore kwenye mchezo wa Kirafiki jioni hii. Dakika ya 76 Chuba Akpom aliifungia bao la tatu Arsenal na kufanya 3-0.
Dakika ya 79 tena Chuba Akpom aliipatia bao la nne Arsenal kwa mkwaju wa penati na kufanya 4-0 katika kipindi cha pili baada ya kusaidiwa pasi na Héctor Bellerín.
Bao la pili lilifungwa kwa mkwaju wa penati na Jack WilsherePer Metersacker akikabana na Amri wa SingaporeTaswira ya Uwanja wa SingaporeNyomi ya Mashabiki wakiwa wametinga kwA wingi katika Uwanja huo wa Taifa wa SingaporeJack W. akifanya yakeTaswira kabla kiputeMike Arteta akifurahia jambo UwanjaniGibbs na Ross (kulia) wakiutazama.

waliotembelea blog