LEO FIFA imetangaza Listi ya Ubora
Duniani na hakuna mabadiliko yeyote kwa Timu 25 za Juu na Spain,
Mabingwa wa Dunia, wakibakiNambari Wani huku Tanzania ikipanda Nafasi
mbili na sasa iko ya 118.
Kwa Nchi za Afrika, Ivory Coast ndio iko Nafasi ya juu kabisa ikikamata Nafasi ya 17.
Listi nyingine ya Ubora Duniani itatolewa Tarehe 13 Februari 2014.
Kwa Nchi za Afrika, Ivory Coast ndio iko Nafasi ya juu kabisa ikikamata Nafasi ya 17.
Listi nyingine ya Ubora Duniani itatolewa Tarehe 13 Februari 2014.
20 BORA:
1 Spain
2 Germany
3 Argentina
4 Colombia
5 Portugal
6 Uruguay
7 Italyl
8 Switzerland
9 Netherlands
10 Brazil
11 Belgium
12 Greece
13 England
14 USA
15 Chile
16 Croatia
17 Côte d'Ivoire
18 Ukraine
19 Bosnia and Herzegovina
20 France
ILIPO TANZANIA:
116 Latvia
117 Malawi
118 Tanzania [Imepanda Nafasi 2]
119 Sudanl
120 Mozambique
121 New Caledonia