Thursday, January 16, 2014



Mwonekanao wa daraja kabula alijazinduliwa
Mkuu wa mkoa wa KAGERA, Kanali mstaafu FABIAN MASSAWE akipunga mkono kabla ya kukata UTEPE
Baada ya kuzindua DARAJA Mkuu wa mkoa wa KAGERA, Kanali mstaafu FABIAN MASSAWE




Viongozi mbalimbali wakishuhudia uzinduzi huo uliofanyika leo
kwenye uzinduzi wa Daraja la Mto kanoni
Mkuu wa mkoa wa KAGERA Kanali mstaafu Fabian Massawe akitoa neno kwa wananchi wa bukoba mjini
Mkuu wa mkoa wa KAGERA Kanali mstaafu Fabian Massawe  akitoa pongezi Mkuu wa mkoa wa KAGERA Kanali mstaafu FABIAN MASSAWE akitoa pongezi kwa wananchi wake
Manispaa ya Bukoba.wananchi nao hawakuwa nyuma
Meya wa Manispaa ya Bukoba, Anatory Amani

 
baada ya uzinduzi Mkuu wa mkoa wa KAGERA Kanali mstaafu Fabian Massawe wanapita juu ya daraja na viongozi mbali mbali

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog