Fursa
inayosimamiwa na Clouds media,ni semina
ilioyokuwa inatoa mafunzo ya
namna ya kuztumia fursa,ama
nafasi zinazotuzunguka kujikwamua na
umaskin
ama kujisogeza ,mahali ulipo
kwenda ngazi nyingine ya juu,na
mimi
nilikuwa mmoja
ya watu tuliotoa shuhuda za maisha yetu,jinsi tulikoanzia
na
jinsi tulivyochangamkia na
kutumia nfursa zinazotuzunguka,na leo pia
nilipata
nafasi kidogo
ya kuwaasa vijana wenzangu namna gani ya kuijikwamua na
kuweza kutimiza ndoto zako..kwamba maisha hayaji
ukiwa
umekaa hapo ulipo pasipo
kufanya kitu..na kubwa
ninalopenda
kuwaasa rafiki zangu na vijana wenzangu..ILI
UFANIKIWE USIPENDE KUSEMA
NITAFANYA BALI SEMA NINAFANYA....
diamond akisalimiana na mheshimiwa Raisi
baada ya kuzungumza machache...
Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Bi. Fatma Ally akielezea
namna alivyoipata Fursa kwa
kupitia Ufugaji wa Nyuki.
Mrisho Mpoto
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza
Kifesi akifanya yake........!!!!! |
Zamarad wa Take 1,Castro Dickson na Maimatha |
Niki note mambo mhimu aliyokuwa akizungumza Raisi..... |
picha ya pamoja |