Sunday, August 24, 2014



Rais Jakaya kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Tanzania 11


Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Real Madrid Legends.

Luis Figo (kushoto), akiruka juu kupiga mpira wa kichwa.

Hekaheka langoni mwa Tanzania.

Mohamed Mwameja akiwa ameshika kiuno baada ya kufungwa goli la kwanza.

Rais Jakaya Kikwete akifurahia jambo na kocha Msaidizi wa Tanzania 11, Jamhuri Kiwhelo 'Julio' mara baada ya mchezo.

Kiungo wa timu ya Real Madrid Legends, Christian Karembeu akichukua picha ya kumbukumbu na Rais Jakaya Kikwete.

Nzuri sana........

Mfunga wa mabao ya timu ya Real Madrid, Reuben akipokea mpira baada ya kupiga 'hat trick' katika mchezo huo.

Beki wa timu ya Tanzania 11, Shadrack Nsajigwa akichuana na mshambuliaji wa Real Madriad Legends, Luis Figo wakati wa mchezo wa Kimatifa wa Kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Mshambuliaji wa timu ya Real Madriad Legends, Luis Figo akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Tanzania 11 wakati wa mchezo wa Kimatifa wa Kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Mshambuliaji wa timu ya Real Madriad Legends, Luis Figo akimiliki mpira mbele ya beki wa Tanzania 11, Shadrack Nsajigwa wakati wa mchezo wa Kimatifa wa Kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Wachezaji wa Everton wakipongezana baada ya kupata bao zao mbili za kipindi cha kwanza.Seamus Coleman Dakika ya 19 kipindi cha kwanza aliwapachikia Everton bao la kwanza nakufanya 1-0 dhidi ya Arsenal baada ya kulishwa mpira na Gareth Barry. 
Dakika za majeruhi za kipindi cha kwanza Steven Naismith aliwafungia bao la pili Everton na kufanya 2-0 dhidi Gunners baada ya kazi nzuri ya Romelu Lukaku kutoa pasi.
Arsenal wamefunga bao lao dakika ya 83 kupitia kwa Aaron Ramsey baada ya kupata krosi safi kutoka kwa Santi Cazorla iliyowapita mabeki wa Everton. Bao la kusawazisha Arsenal limefungwa dakika ya 90 na Olivier Giroud akisaidiwa na Monreal.
You might also like:

 


Taswira kamili Uwanja wa taifa Jijini Dar es selaam.
MBELE ya Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, Leo kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam Malejendari wa Real Madrid waliwachapa wenzao wa Tanzania Bao 3-1 kwenye maalum ya Kirafiki iliyohudhuriwa na Washabiki wengi.
Bao zote za Real zilifungwa na Kiungo wao wa zamani Reuben de La Red, mwenye Miaka 29, ambae alilazimika kustaafu Soka Mwaka 2010 baada ya kupata matatizo ya Moyo.
Bao pekee la Tanzania lilikuwa ni la kujifunga wenyewe Real kupitia Roberto Rojas.
Mechi hii ya Kirafiki ilipambwa hasa na Mkongwe Luis Figo ambae aling’ara na kwenye Kiungo cha Real, Christian Karembeu, alionyesha bado wamo.
Kwa upande wa Tanzania Makipa Mohammed Mwameja, aliecheza Kipindi cha Kwanza, na Peter Manyika, aliecheza Kipindi cha Pili, walionyesha ustadi wao lakini ni Kali Ongala ndie alikuwa Nyota kwa Mpira wake wa akili.
Hadi Mapumziko, Timu hizi zilikuwa Sare kwa Bao 1-1.
Kipindi cha Pili, Real walipiga Bao 2 zaidi na moja likiwa Penati iliyosababishwa na Habib Kondo.Mdau wa bukobasports.com Willy Kiroyera (kulia, akiwa ametokelea akiwa na marafiki zake wakiwa tayari kushuhudia kipute cha Tanzania Eleven na Magwiji wa Real Madrid leo Kipute kikiendelea Uwanjani kipindi cha kwanza ambapo Tanzania walikuwa sare ya 1-1Nyomi...Mashabiki walijitokeza kwa wingi kushuhudia kipute hicho kilichomalizika kwa bao 3-1 Tanzania wakichapwa na Mchezaji mmoja wa Real aliyetupia hat-trick. Moja likifungwa kwa mkwaju wa penati.

waliotembelea blog