Saturday, March 15, 2014



Habari zilizotufikia katika chumba chetu cha habari  kwamba basi la kampuni ya Japanese Express linalofanya safari zake kati ya Makete - Njombe, limetumbukia kwenye mto eneo la Lwamadovela wilayani Makete
Basi hilo lilikuwa likitokea Njombe kuja Makete na ajali hiyo imetokea majira ya saa 11 jana jioni kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo
Wapo baadhi ya abiria waliojeruhiwa na kukimbizwa katika hospitali ya Ikonda


Meneja wa Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),Ndg. Steven Kazidi (kushoto) akimuinua mkono juu kwa ishara ya kumnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo (CCM),Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete wakati wa mkutano wa kwanza wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Matipwili,Saadani Wilayani Bagamoyo jana Machi 14,2014.
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubi wananchi wa Kijiji cha Matipwili,Saadani Wilayani Bagamoyo,wakati wa mkutano wa kwanza wa kampeni zake ulioanza rasmi jana Machi 14,2014.
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubi wananchi wa Kijiji cha Saadani,Wilayani Bagamoyo.wakati wa kampeni zake zilizoanza rasmi jana Machi 14,2014.
Baada ya kumaliza Mkutano na Wananchi wa Kijiji cha Matipwili,Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Chalinze,Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete alifika katika Kijiji cha Gongo ndani ya Tarafa ya Saadani na kukutana na wananchi wa Kijiji hicho na kuzungumza nao kama aonekanavyo pichani.

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubia wanakijiji wakazi wa Kijiji cha Mkange,Saadani Wilayani Bagamoyo waliojitokeza kwa wingi kumsikiliza huku wengi wakiahidi kumpa kura zao pindi itakapofika siku ya Uchaguzi huo mdogo wa Jimbo hilo.



Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze,Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete akinong'onezwa jambo na Mmoja wa kinamama wa Kijiji cha Matipwili (Jina lake halikuweza fahamika mara moja).
"Ni furaha tupu" Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze,Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete akifurahia jambo na wanakijiji wa Matipwili.
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete akisalimiana na Wanakijiji cha Mkange,wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Mkutano.
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete akisalimiana na Sheikh wa Kijiji cha Mkange.
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete akisalimiana na rafiki yake wa kitambo.
Mwenyekiti wa Kampeni katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ndg. Saleh Mpwimbwi akimmwagia sifa kede kede Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete .



Screen Shot 2014-03-15 at 11.55.14 AM 
Kupitia You heard ya XXL Clouds FM March 14 2014 zilitoka stori kwamba Wema Sepetu amekwenda na kumfanyia fujo Diamond Platnumz studio.
Hiyo ilitokana na kuona video ya Diamond akiwa na Victoria Kimani studio, msichana ambae amewahi kutajwa kuwa mapenzini nae.
Baada ya yaliyotokea jana, Wema ameandika haya maneno hapa chini baada ya kuweka hiyo picha hapo juu
Screen Shot 2014-03-15 at 11.55.32 AM

Nikica Jelavic of Hull City is brought down by Vincent Kompany of Manchester City during the Barclays Premier league match between Hull City and Manchester City at KC Stadium on March 15, 2014 in Hull, England.  Kompany was shown the red card for this chalenge.
Nikica Jelavic wa Hull City akivutwa jezi na kuangushwa chini na Vincent Kompany wa Manchester City kwenye mechi ya ligi ya Barclays Premier mtanange kati ya Hull City na Manchester City uliochezewa katika uwanja wa  KC Stadium siku ya Jumamosi March 15, 2014 mjini Hull, Uingereza na mchezaji. Kompany alionyeshwa kadi nyekundu dakika za mwanzo wa mchezo
Vincent Kompany of Manchester City reacts after being shown the red card after bringing down Nikica Jelavic of Hull City during the Barclays Premier league match between Hull City and Manchester City at KC Stadium on March 15, 2014 in Hull, England.
Vincent Kompany wa Manchester City akionyesha sura ya ya kutoamini kadi nyekundu aliyopewa baada ya kumuangusha Nikica Jelavic wa Hull City kwenye mechi ya ligi ya  Barclays Premier kati ya Hull City na Manchester City iliochezewa katika uwanja wa  KC Stadium siku ya Jumamosi March 15, 2014 mjini Hull, Uingereza
Nikica Jelavic of Hull City reacts as Referee Lee Mason shows the red card to Vincent Kompany of Manchester City during the Barclays Premier league match between Hull City and Manchester City at KC Stadium on March 15, 2014 in Hull, England.
Nikica Jelavic wa Hull City akilalama kwa Refa Lee Mason wakati akimuonyesha kadi nyekundu  Vincent Kompany wa Manchester City kwenye mechi ya ligi ya  Barclays Premier kati ya Hull City na Manchester City iliochezewa katika uwanja wa  KC Stadium siku ya Jumamosi March 15, 2014 mjini Hull, Uingereza Picha kwa hisani ya Zimbio




Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Bw. Samwel Sitta akila kiapo mbele ya  Katibu wa Bunge hilo Bw. Yahya Khamis Hamad, wakati wa hafla ya kuwaapisha wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mjini Dodoma.Kulia ni Naibu Katibu wa Bunge Hilo Thomas Kashilila.

>Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samia Suluhu Hassan akila kiapo mbele ya Naibu Katibu wa Bunge Hilo Thomas Kashilila, wakati wa hafla ya kuwaapisha wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba leo Mjini Dodoma.Kulia ni Katibu wa Bunge Hilo Yahya Khamis Hamad.

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye ni Mwanasheria Mkuu Frederick Werema akitoa hoja wakati wa hafla ya kuwaapisha wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mjini Dodoma.

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba na aliyekuwa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge hilo Pandu Ameir Kificho akila kiapo cha kuwa Mjumbe wa Bunge Hilo Mbele ya Mwenyekiti wa Bunge Hilo Samwel Sitta.

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Waziri Mkuu Bw. Mizengo Pinda akila kiapo cha kuwa Mjumbe wa Bunge Hilo Mbele ya Mwenyekiti wa Bunge Hilo Samwel Sitta.

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Bw. Edward Lowassa akila kiapo cha kuwa Mjumbe wa Bunge Hilo Mbele ya Mwenyekiti wa Bunge Hilo Samwel Sitta

Daniel Sturridge akiwa na tuzo ya Mchezaji Bora wa Februari
MSHAMBULIAJI wa Liverpool, Daniel Sturridge ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya England kwa mwezi Februari, baada ya kufunga mabao matano katika mechi nne.
Nyota huyo ameisaidia Liverpool kushinda dhidi ya Swansea na Fulham pamoja na kuitandika mabao 5-1 Arsenal timu hiyo ya Anfield ikiweka hai matumaini ya kutwaa ubingwa.
Winning: Sam Allardyce led West Ham into the top 10 with four wins from four last month
Sam Allardyce ameiongoza West Ham kuingia kwenye 10 Bora kwa kushinda mechi nne mwezi uliopita
Kocha wa West Ham, Sam Allardyce, ameshinda tuzo ya Kocha Bora wa Mwezi baada ya kuiongoza timu yake kushinda mechi nne.


Luis Suarez of Liverpool in action during a training session at MelwoodMain men: Brendan Rodgers and Luis Suarez talking during a training sessionTalking tactics: Luis Suarez and Steven Gerrard deep in conversation ahead of their trip to Old TraffordWhat's that boss? Daniel Sturridge and Brendan Rodgers chew the fat during a training sessionMy ball: Simon Mignolet makes sure his handling is in order ahead of Liverpool's trip to Old TraffordGetting stuck in: Martin Skrtel and Luis Alberto of Liverpool in action as Suarez looks onComing together: Brendan Rodgers (right) has turned Liverpool into genuine title challengers
Helping hand: Suarez pulls out the practice dummies as his side train ahead of Sunday's clash
Game for a laugh: Gerrard shows no sign of feeling the pressure during Liverpool's title run-in

Strong association: Nicolas Anelka's 'quenelle' gesture is strongly associated with anti-Semitism
Nicolas Anelka ametamka kuwa hawezi kuomba msamaha kwa klabu yake ya West Brom juu ya tuhuma za kibaguzi anazoshutumiwa. Tuhuma alizopewa Anelka na klabu yake ni kuhusiana na aina ya ushangiliaji ambao klabu yake imesema unakashifu na kubagua jamii fulani ya watu. Kutokana na kufanya kitendo hicho, cha ushangiliaji kwa kuweka mkono kifuani kama ambavyo anaonekana kwenye picha, klabu yake imempa adhabu ya kukaa benchi mechi tano jambo ambalo Anelka mwenyewe amelikataa na amesema atavunja mkataba wake na West Brom kama watamlazimisha kuomba msamaha na kutumikia adhabu.

Search effort: Colonel Do Duc Minh (far left) Vietnam Air Force's 370 Division's Chief of Staff, points at a map as he speaks to reporters about search flights aimed at finding the missing Malaysia Airlines planeColonel Do Duc Minh (far left) Vietnam Air Force's 370 Division's Chief of Staff, points at a map as he speaks to reporters about search flights aimed at finding the missing Malaysia Airlines plane
Marekani pia imejiunga na juhudi za kuitafuta Ndege ya Malaysia
Wiki moja tangu ndege ya Malaysia iliyokuwa imewabeba abiria 239 kutoweka, juhudi za kimataifa kuisaka ndege hiyo bado zinaendelea.

Theories: Suspicions are increasing that flight MH370 was deliberately diverted, as evidence suggests it took a sharp turn to the west and headed out over the Andaman Islands, sources have claimedMataifa kumi na mbili sasa yamejiunga pamoja kuisaidia serikali ya Malaysia na msako huo, juhudi zenyewe zikijikita zaidi Magharibi mwa rasi ya Malaysia.
Marekani imesema kuwa inatuma manowari zake za kivita, pamoja na ndege maalum ya uchunguzi katika maeneo ya Bengal, Bahari ya Andaman na sehemu za Bahari hindi.
Mnamo Ijumaa taarifa ziliibuka kuwa ndege hiyo ilituma mawasiliano katika kituo cha trafiki ya ndege kwa karibu saa tano baada ya taarifa ya kupotea kwake kutolewa.

If the plane did carry on flying for five hours it could have travelled 2,200 nautical milesTaarifa zinasema kuwa mawasiliano hayo yanaweza kusaidia katika kujua iliko ndege hiyo na ndio maana Marekani ikaamua kutuma meli zake za kivita katika Bahari Hindi.Re-routed: Malaysian officials have said radar data suggests the plane may have turned back and crossed over the Malaysian peninsula toward the Andaman Islands after setting out on a northeastern path toward the Chinese capital

 


Dalili ya mvua huwa ni mawingu au Radi, SUPASTAA anayeunda kundi la Psquare, Paul Okoye, pacha wa Peter, ameachia picha za kutosha za pre wedding akiwa na mchumba ake wa muda mrefu anayeitwa Anita na hivyo kuashiria kuwa ataingia kwenye chama cha Wanandoa kipindi sio kirefu kama alivyofanya pacha wake .

”My everything……….gonna fly straight to the sky. Just me & you. Love u baby!!! #PreWeddingShoots aliandika Paul kwenye Facebook kisha kutupia baadhi ya picha, watazame mwenyewe jinsi walivyopendeza…





waliotembelea blog