Saturday, March 15, 2014


Search effort: Colonel Do Duc Minh (far left) Vietnam Air Force's 370 Division's Chief of Staff, points at a map as he speaks to reporters about search flights aimed at finding the missing Malaysia Airlines planeColonel Do Duc Minh (far left) Vietnam Air Force's 370 Division's Chief of Staff, points at a map as he speaks to reporters about search flights aimed at finding the missing Malaysia Airlines plane
Marekani pia imejiunga na juhudi za kuitafuta Ndege ya Malaysia
Wiki moja tangu ndege ya Malaysia iliyokuwa imewabeba abiria 239 kutoweka, juhudi za kimataifa kuisaka ndege hiyo bado zinaendelea.

Theories: Suspicions are increasing that flight MH370 was deliberately diverted, as evidence suggests it took a sharp turn to the west and headed out over the Andaman Islands, sources have claimedMataifa kumi na mbili sasa yamejiunga pamoja kuisaidia serikali ya Malaysia na msako huo, juhudi zenyewe zikijikita zaidi Magharibi mwa rasi ya Malaysia.
Marekani imesema kuwa inatuma manowari zake za kivita, pamoja na ndege maalum ya uchunguzi katika maeneo ya Bengal, Bahari ya Andaman na sehemu za Bahari hindi.
Mnamo Ijumaa taarifa ziliibuka kuwa ndege hiyo ilituma mawasiliano katika kituo cha trafiki ya ndege kwa karibu saa tano baada ya taarifa ya kupotea kwake kutolewa.

If the plane did carry on flying for five hours it could have travelled 2,200 nautical milesTaarifa zinasema kuwa mawasiliano hayo yanaweza kusaidia katika kujua iliko ndege hiyo na ndio maana Marekani ikaamua kutuma meli zake za kivita katika Bahari Hindi.Re-routed: Malaysian officials have said radar data suggests the plane may have turned back and crossed over the Malaysian peninsula toward the Andaman Islands after setting out on a northeastern path toward the Chinese capital

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog