Saturday, March 15, 2014



Habari zilizotufikia katika chumba chetu cha habari  kwamba basi la kampuni ya Japanese Express linalofanya safari zake kati ya Makete - Njombe, limetumbukia kwenye mto eneo la Lwamadovela wilayani Makete
Basi hilo lilikuwa likitokea Njombe kuja Makete na ajali hiyo imetokea majira ya saa 11 jana jioni kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo
Wapo baadhi ya abiria waliojeruhiwa na kukimbizwa katika hospitali ya Ikonda

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog