Nikica Jelavic wa Hull City akivutwa jezi na kuangushwa chini na
Vincent Kompany wa Manchester City kwenye mechi ya ligi ya Barclays
Premier mtanange kati ya Hull City na Manchester City uliochezewa katika
uwanja wa KC Stadium siku ya Jumamosi March 15, 2014 mjini Hull,
Uingereza na mchezaji. Kompany alionyeshwa kadi nyekundu dakika za
mwanzo wa mchezo
Vincent Kompany wa Manchester City akionyesha sura ya ya kutoamini
kadi nyekundu aliyopewa baada ya kumuangusha Nikica Jelavic wa Hull City
kwenye mechi ya ligi ya Barclays Premier kati ya Hull City na
Manchester City iliochezewa katika uwanja wa KC Stadium siku ya
Jumamosi March 15, 2014 mjini Hull, Uingereza
Nikica Jelavic wa Hull City akilalama kwa Refa Lee Mason wakati
akimuonyesha kadi nyekundu Vincent Kompany wa Manchester City kwenye
mechi ya ligi ya Barclays Premier kati ya Hull City na Manchester City
iliochezewa katika uwanja wa KC Stadium siku ya Jumamosi March 15, 2014
mjini Hull, Uingereza Picha kwa hisani ya Zimbio
0 maoni:
Post a Comment