Raheem Sterling aliwafungia England bao la tatu na kufanya 3-0 dhidi ya Lithuania.
Harry Kane aliyeingia kipindi cha pili dakika ya 71 kuchukua nafasi ya Kepteni Wayne Rooney aliwafungia bao ndani ya muda mchache kama dakika mbili baada ya kukanyaga nyasi za Uwanja huo, Bao la kichwa la nne dakika ya 73 tu na kufanya 4-0 na mtanange kumalizika dakika 90 kwa bao hizo nne.
VIKOSI:
England: Hart, Clyne, Cahill, Jones, Baines, Henderson, Carrick, Delph, Sterling, Welbeck, Rooney.
Akiba: Butland, Smalling, Walcott, Jagielka, Milner, Townsend, Kane, Mason, Barkley, Gibbs, Walker, Green.
Lithuania: Arlauskis, Freidgeimas, Kijanskas, Mikuckis, Zaliukas, Andriuskevicius, Zulpa, Mikoliunas, Chvedukas, Cernych, Matulevicius.
Akiba: Zubas, Vicius, Vaitkunas, Sirgedas, Kazlauskas, Luksa, Beniusis, Slavickas, Panka, Stankevicius, Borovskij, Cerniauskas.
Refa: Pavel Kralovec