Friday, March 27, 2015


Bondia Wang Xin Hua kutoka China 'kushoto'  wakitunishiana misuli na Mohamed Matumla baada ya kupima uzito Dar es salaam jana kwa ajili ya mpambano wao leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee
Bondia Wang Xin Hua kutoka China 'kushoto'  wakitazamana kwa usongo  na Mohamed Matumla baada ya kupima uzito Dar es salaam jana kwa ajili ya mpambano wao leo katika ukumbi wa Diamond jubilee katikati ni Jay Msangi Promota
Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Jay Msangi 'Jiwe Gumu' katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Mfaume Mfaume kushoto na Cosmas Cheka baada ya kupima uzito jana kwa ajili ya mpambano wao wa leo

Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Jay Msangi 'Jiwe Gumu' katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Bondia Wang Xin Hua kutoka China 'kushoto'  na Mohamedi Matumla
 baada ya kupima uzito jana kwa ajili ya mpambano wao wa leo
Mabondia Japhet Kaseba (Kushoto) akitunishiana msuli na Mada Maugo baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa leo Ijumaa katika ukumbi wa Diamond

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog