Thursday, January 16, 2014

LEO FIFA imetangaza Listi ya Ubora Duniani na hakuna mabadiliko yeyote kwa Timu 25 za Juu na Spain, Mabingwa wa Dunia, wakibakiNambari Wani huku Tanzania ikipanda Nafasi mbili na sasa iko ya 118.
Kwa Nchi za Afrika, Ivory Coast ndio iko Nafasi ya juu kabisa ikikamata Nafasi ya 17.
Listi nyingine ya Ubora Duniani itatolewa Tarehe 13 Februari 2014.

20 BORA:
1        Spain
2        Germany
3        Argentina
4        Colombia
5        Portugal
6        Uruguay
7        Italyl
8        Switzerland
9        Netherlands
10      Brazil
11      Belgium
12      Greece
13      England
14      USA
15      Chile
16      Croatia
17      Côte d'Ivoire
18      Ukraine
19      Bosnia and Herzegovina
20      France
ILIPO TANZANIA:
116    Latvia          
117    Malawi
118    Tanzania [Imepanda Nafasi 2]
119    Sudanl
120    Mozambique
121    New Caledonia


0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog