Monday, November 10, 2014

Wasanii wa kikundi cha Original Komedi kikiwapa burudani wakazi wa mkoa wa Kagera leo  waliofurika kwenye uwanja wa Kaitaba Bukoba Mjini kushuhudia Tamasha la Tigo welcome pack, Kampuni ya Tigo imeanzisha kifurushi cha welcome pack kitakachomwezesha mtumiaji wa Tigo kupata muda wa maongezi wa dakika 20, MB175, SMS bila kikomo na pesa shilingi mia 500 kwenye akaunti yake ya Tigopesa, yote hayo kwa shilingi 1000 mteja atakaponunua laini yake ya Tigo. Picha na Faustine Ruta wa Bukobasports.comJoti akifanya yake jukwaani!Niseme ni si seme??Wasanii wa Original Comedy wakiwapa buradani wananchi waliohudhuria Tamasha hilo  katika uwanja wa Kaitaba Bukoba Mjini leo Jumapili Novemba 9, 2014. Picha na Faustine Ruta wa Bukobasports.comWasanii wa Original Comedy wakiendelea kutoa Burudani jukwaani Msanii wa Original Comedy Joti akipandwa na jazba jukwaani wakati wanatoa Burudani kwenye Uwanja wa Kaitaba leo Jumapili Jioni wakati wa Tamasha la Tigo.Walianza Visa hapo Jukwaani baada ya kuachia Burudani ya Kutoka kwa Wimbo wa Yamoto Band wimbo wao wa Niseme" na hapo mambo yakaendelea kushika kasi jukwaani. Picha na Faustine Ruta wa Bukobasports.comBaadae baada ya Muziki huo kumalizika Kundi hilo likaendelea kushusha Burudani ya Ukweli mbele ya Umati wa Wakaazi waliopata nafasi ya Kuhudhuria Tamasha hilo katika uwanja wa Kaitaba Bukoba Mjini leo Jumapili Novemba 9, 2014. Wateja walipata fursa ya kupata huduma mbalimbali kutoka kwenye vibanda vya Tigo vilivyopatikana Uwanjani hapo.Baadhi ya Wasanii wa kikundi cha Original Komedi wakishambulia jukwaa!Wasanii wa kikundi cha Original Komedi wakitoa Burudani jukwaani leo.Sehemu ya Umati mkubwa uliofurika kwenye Tamasha hilo la Tigo Welcome Pack kwenye Uwanja wa Kaitaba Bukoba Mjini leo jumapili jioni.WAKUVANGA (Mama BERE au Baba Andunje) kwa furaha jukwaani wakati akitoa burudani.Seki akisalimiana na Umati huo uliofurika kwenye Tamasha hilo la Tigo Welcome Pack kwenye Uwanja wa Kaitaba. Tamasha la kampeni ya kifurushi kipya cha Tigo cha welcome pack. Kampuni ya Tigo imeanzisha kifurushi cha welcome pack kitakachomwezesha mtumiaji wa Tigo kupata muda wa maongezi wa dakika 20, MB175,SMS bila kikomo na pesa shilingi mia 500 kwenye akaunti yake ya Tigopesa, yote hayo kwa shilingi 1000 mteja atakaponunua laini yake ya Tigo. Picha na Faustine Ruta wa Bukobasports.comMsanii wamuziki wa kizazi kipya Bongofleva Linex alipanda jukwaani kuachia kile alichowaandalia Wananchi wa Bukoba kwenye Tamasha hilo ta Tigo Welcome Pack.Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongofleva Linex akiimba jukwaani!.Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongofleva Linex akiimba mbele ya umati mkubwa wa wakazi wa mji wa Bukoba waliojitokeza kwa wingi leo Jumapili kwenye Tamasha la Tigo lililofanyika kwenye Uwanja wa kaitaba.Msanii Emmanuel Mgaya, Maarufu Masanja Mkandamizaji akiwapa Raha wakazi wa Mkoa wa kagera leo wakati wa Tamasha la Tigo.Kitendo cha Masanja kusimama jukwaani ilikuwa ni furaha tosha kwa Wakaazi wa Mkoa wwa Kagera...full shangwe!! Wadau  wote mikono juu!!! Masanja Kakamata kinoma! Waandishi wa habari wakasahau kazi yao! Meno 32 yote nje!Full shangwe kaitaba wakati wa Tamasha la Tigo!Baadae kukawa kimya kidogo kisha Wazee wazima wa The Comedy wakaingia...Wasanii wa kikundi cha Original Comedy kikitoa burudani kemkem kwa Wakazi wa Mkoa wa Kagera waliofurika kwenye uwanja wa Kaitaba kushuhudia tamasha la Tigo welcome pack, Kampuni ya Tigo imeanzisha kifurushi cha welcome pack kitakachomwezesha mtumiaji wa Tigo kupata muda wa maongezi wa dakika 20, MB175, SMS bila kikomo na pesa shilingi mia 500 kwenye akaunti yake ya Tigopesa, yote hayo kwa shilingi 1000 mteja atakaponunua laini yake ya Tigo. Picha na Faustine Ruta wa Bukobasports.comJoti(Andunje) na Kipara Macregan wakifunika!Utamwambia nini MACREGAN KIPARA (Shemeejiii) ndami ya Uzi!Kipara Magregan na Joti wakiwajibika Jukwaani leo wakati wa Tamasha la Tigo.Andunje "Joti" mambo yalimpanda akaamua kuparamia stejiHatari tupu!!Nini tena?Vua hilo vazi!! Wewe ni Askari?? Andunje tuu!!Joti alichojoa zote bila aibu!! Vazi likabaki na heshima yake!Chezea Kipara wewe!! Macregan kazini!!Mpoki (Bepari La Kihaya - Mwarabu wa Dubai, Nyani mweusi nae) alipata nafasi ya kusalimia Watu wake wa Bukoba na kuwapa Burudani Murua Vijana wa Nyumbani Bukoba.Sehemu ya Umati wa Watu wakimsikiliza kwa makini na wengi furaha kutojificha kwenye Tamasha la kampeni ya kifurushi kipya cha Tigo cha welcome pack. Kampuni ya Tigo imeanzisha kifurushi cha welcome pack kitakachomwezesha mtumiaji wa Tigo kupata muda wa maongezi wa dakika 20, MB175,SMS bila kikomo na pesa shilingi mia 500 kwenye akaunti yake ya Tigopesa, yote hayo kwa shilingi 1000 mteja atakaponunua laini yake ya Tigo.Nyomizzz!Wanajuana!! Masanja Mkandamizaji na Bepari la Kihaya Mpoki wakionesha ubabe wao jukwaani wakati wa  Tamasha la kampeni ya kifurushi kipya cha Tigo cha welcome pack. Picha na Faustine Ruta wa Bukobasports.comMpoki(kulia) akitamba!!Nani zaidi??Mwana-FA akiimba mbele ya umati wa wakazi wa Bukoba leo kwenye Tamasha la Tigo lililofanyika leo Jumapili jioni kwenye Uwanja wa Kaitaba.Kiingilio ilikuwa ni wewe kuvaa uhusika wa Tigo!!Mwana-FA

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog