Vijana wa Yamoto Band waikonga mioyo ya mashabiki wao wa Tabata kwa kupiga show kali sana ndani ya Dar West ikiwa ni wiki moja tu imepita tangu warejee kutoka UK Londoni ambako walikuwa na Ziara.
Kayumba ni Zao kutoka Mkubwa na Wanawe akifungua show kwa kuimba kabla ya Vijana wa Yamoto Band.
Mwanadada Marope kutoka Mkubwa na wanawe akitoa Burudani katika Ukumbi wa Dar west Tabata jana.
Anaitwa Adamu solooo...
Enock Bella Mzee wa sauti Nzitto akifanya yake katika Ukumbi wa Dar west tabata Jana.
Mkubwa Fella akizungumza jambo na Mashabiki wa Yamoto Band Tabata.
0 maoni:
Post a Comment