Wednesday, October 2, 2013

 
Wayne Rooney akiteleza kuchukua mpira kwa
  Ashley Young kwenye mazoezi yao
 kabla ya kuelekea kucheza na Shakhtar Donetsk Ukraine
 
Rooney ambaye anachezea timu ya 
Taifa ya Uingereza anatarajiwa kucheza kesho
 Jumatano kwenye maudiano na timu ya Ukraine -Shakhtar Donetsk
Jumanne Oktoba 1 na Jumatano Oktoba 2 Mashindano ya
 UEFA CHAMPIONS LEAGUE, UCL, ambayo sasa yapo hatua za Makundi yakiwa na Makundi 8 ya Timu 4 kila moja ambako Timu 2 za juu husonga na kuingia Raundi ya Mtoano ya Timu 32, yataingia Mechi zake za pili baada ya kuanza hapo Septemba 17. 
 Robin van Persie chini akicheza na mchezaji
 mwenzake Young kwenye mazoezi yao kabla ya kuelekea Ukraine
 
Rooney akiteta na kucheka na kocha Phil Neville
 
Van Persie akiongoza wenzake kwenye mazoezi yao wakijiandaa na Uefa Champions League
 
Marouane Fellaini akionesha manjonjo yake wakati akipasha kwenye mazoezi
 
Kipa David de Gea nae alikuwa miongoni mwao akipasha  
Van Persie akijigamba na kuja kuziona nyavu za 
Donetsk kesho jumatano wakati wa marudiano 
Kagawa na Chris Smalling wakipiga danadana kwenye mazoezi
 
Nani (katikati) ni mchezaji anayetarajiwa kupata namba kesho Ukraine
Kocha mkuu Moyes kuwaongoza
 United Ukraine kesho jumatano
 
Ferdinand akichota mpira kutoka kwa Rooney
 wakati wa mazoezi yao kabla ya kuelekea Ukraine leo hii
 
Midfielders Michael Carrick na Tom Cleverley wakipasha
Ni Ashley Young na Moyes  hapa.
.
Kazi ya Ziada inatakiwa hapa: 
Kocha  Moyes kumtumia  Danny Welbeck kwenye kukaba
 
Ryan Giggs ni mmoja  wa viongozi wa 
kuwaongoza United pamoja na kocha mkuu  Moyes

Jumatano 2 Oktoba 2013
FC Shakhtar Donetsk v Manchester United FC
Bayer 04 Leverkusen v Real Sociedad de Fútbol
Juventus v Galatasaray A.Ş.
Real Madrid CF FC København
Paris Saint-Germain v SL Benfica
RSC Anderlecht v Olympiacos FC
Manchester City FC v FC Bayern München
PFC CSKA Moskva v FC Viktoria Plzeň

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog