Wednesday, October 2, 2013


 
Ramires akiifungia timu yake Chelsea bao la kwanza na kufanya 1-0 dakika ya 19. Bao la pili wamejifunga wenyewe dakika za mwishoni za kipindi cha kwanza dakika ya 44 kupitia mchezaji wao Steaua Bucurest Daniel Georgievski aliyejimaliza mwenyewe baada ya patashika kwenye lango lao.
 
Mchezaji wa Chelsea Juan Mata akiongoza mashambulizi kuiua Steaua Bucharest usiku huu.
  
 Mchezaji wa Steaua Bucharest Daniel Georgievski aliyejifunga bao
Dakika ya 55 kipindi cha pili Ramires akaiongezea tena bao Chelsea na kufikisha bao 3-0 dhidi ya timu ya Steaua Bucurest. 
Ramires akifunga bao na kuipa ushindi Chelsea  
Ramires akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la tatu dhidi ya Steaua Bucharest ambao hawakupata hata la kufuta machozi  na hatimaye Frank Lampard akawashona tena bao la mwisho na dakika za lala salama dakika ya 90 na matanage kumalizika kwa 4-0 usiku huu.

RATIBA/MATOKEO
Mechi za Makundi-Raundi ya Pili:
Mechi zote Saa 3 Dakika 45 Usiku

Jumanne 1 Oktoba 2013
FC Basel 1893 0 v 1 Schalke 04
FC Steaua Bucureşti 0 v 4 Chelsea
Borussia Dortmund 3 v 0 Olympique de Marseille
Arsenal  2 v 0  Napoli
Football Club Zenit 0 v 0 FK Austria Wien
FC Porto Club 1 v 2 Atlético de Madrid
AFC Ajax 1 v 1 AC Milan
Celtic FC 0 v 1 FC Barcelona



Jumatano 2 Oktoba 2013
FC Shakhtar Donetsk v Manchester United FC
Bayer 04 Leverkusen v Real Sociedad de Fútbol
Juventus v Galatasaray A.Ş.
Real Madrid CF FC København
Paris Saint-Germain v SL Benfica
RSC Anderlecht v Olympiacos FC
Manchester City FC v FC Bayern München
PFC CSKA Moskva v FC Viktoria Plzeň

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog